DMCT JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 2,276 Reaction score 5,942 Mar 3, 2018 Thread starter #142 Jolie Jolie said: Duh!!kwan namna hii mpaka simu itakua nzito kuibeba Click to expand... Apps chache hizo mkuu..
Jolie Jolie said: Duh!!kwan namna hii mpaka simu itakua nzito kuibeba Click to expand... Apps chache hizo mkuu..
Avatar JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 11,128 Reaction score 11,938 Mar 3, 2018 #143 Nokia83 said: Click to expand... Mzeewa sosho netweki hahahah mambo ya masnaapchat
Complicator JF-Expert Member Joined Aug 23, 2013 Posts 2,207 Reaction score 3,604 Mar 3, 2018 #144 huwa sipendi icon yeyote kwenye homescreen
DMCT JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 2,276 Reaction score 5,942 Mar 3, 2018 Thread starter #145 mtu chake said: We utakua Muslim safi kbs Click to expand... Na anabet..
DMCT JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 2,276 Reaction score 5,942 Mar 3, 2018 Thread starter #146 Elgibo said: Duuh, umeamua kujua simu za watu wewe Click to expand... Haha... Weka home screen mkuu tuenjoy
Elgibo said: Duuh, umeamua kujua simu za watu wewe Click to expand... Haha... Weka home screen mkuu tuenjoy
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,723 Reaction score 126,574 Mar 3, 2018 #147 glass amo said: Tecno whereva. Hahahah Click to expand... Kama kawaida mkuu ni ule ule. Inatimiza umri wa miaka 2 soon toka muda niichukue Dukani
glass amo said: Tecno whereva. Hahahah Click to expand... Kama kawaida mkuu ni ule ule. Inatimiza umri wa miaka 2 soon toka muda niichukue Dukani
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,371 Mar 3, 2018 #149 Avatar mok said: Mzeewa sosho netweki hahahah mambo ya masnaapchat Click to expand... Hiyo snapchat yangu ukifungua ni laana tupu
Avatar mok said: Mzeewa sosho netweki hahahah mambo ya masnaapchat Click to expand... Hiyo snapchat yangu ukifungua ni laana tupu
Kibwengo JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 6,825 Reaction score 5,296 Mar 3, 2018 #150 DMCT said: Wakuu, poleni na majukumu. Leo naomba tushare jinsi home screen za simu zetu zinavoonekana. Mpe like utakae pendezwa na home screen yake.. Nawasilisha Click to expand... Ili iweje au unataka kudukua
DMCT said: Wakuu, poleni na majukumu. Leo naomba tushare jinsi home screen za simu zetu zinavoonekana. Mpe like utakae pendezwa na home screen yake.. Nawasilisha Click to expand... Ili iweje au unataka kudukua
Avatar JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 11,128 Reaction score 11,938 Mar 3, 2018 #151 Nokia83 said: Hiyo snapchat yangu ukifungua ni laana tupu Click to expand... Haha ️️️️️️
glass amo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2017 Posts 3,825 Reaction score 4,639 Mar 3, 2018 #152 Mwifwa said: Kama kawaida mkuu ni ule ule. Inatimiza umri wa miaka 2 soon toka muda niichukue Dukani Click to expand... Duuuuh. Hongera sana
Mwifwa said: Kama kawaida mkuu ni ule ule. Inatimiza umri wa miaka 2 soon toka muda niichukue Dukani Click to expand... Duuuuh. Hongera sana
Avatar JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 11,128 Reaction score 11,938 Mar 3, 2018 #153 DMCT said: Na anabet.. Click to expand... Kubeti dhambi ee
Jolie Jolie JF-Expert Member Joined Dec 28, 2017 Posts 7,406 Reaction score 13,823 Mar 3, 2018 #154 Nokia83 said: Click to expand... Nmeiona game ya Jewel,tafuta Jewel legend utaipenda
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Mar 3, 2018 #155 DMCT said: Na anabet.. Click to expand... Bana wee
Jolie Jolie JF-Expert Member Joined Dec 28, 2017 Posts 7,406 Reaction score 13,823 Mar 3, 2018 #156 Avatar mok said: Haha nini sasa!! Si gallery iyo hapoo...! Au wewe na jamaa mnalenu jamboo!!?? Click to expand... Akhaaa nimewaza yang hii haina hata pa kukwepea nmeamua tu kukausha
Avatar mok said: Haha nini sasa!! Si gallery iyo hapoo...! Au wewe na jamaa mnalenu jamboo!!?? Click to expand... Akhaaa nimewaza yang hii haina hata pa kukwepea nmeamua tu kukausha
tryvenak JF-Expert Member Joined Dec 13, 2017 Posts 248 Reaction score 298 Mar 3, 2018 #157 Jolie Jolie said: Nimeona mmoja tu ndo kathubutu kuweka screen ina picha yake Click to expand... Ivi kwann watu hawapendi kutambulika kwa sura zao
Jolie Jolie said: Nimeona mmoja tu ndo kathubutu kuweka screen ina picha yake Click to expand... Ivi kwann watu hawapendi kutambulika kwa sura zao
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,371 Mar 3, 2018 #158 Jolie Jolie said: Nmeiona game ya Jewel,tafuta Jewel legend utaipenda Click to expand... Ngoja niipakue sasa hv
Jolie Jolie said: Nmeiona game ya Jewel,tafuta Jewel legend utaipenda Click to expand... Ngoja niipakue sasa hv
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,723 Reaction score 126,574 Mar 3, 2018 #160 glass amo said: Duuuuh. Hongera sana Click to expand... Ahsante mkuu