How your home screen looklike

We mwanaume huwez elewa haya mkuu. Sababu skin tone ya mtu ukipiga na huawei mbaya mbaya zile na IPhone lazima zitokee tofauti sasa utaonaje hiyo skin tone?
Hahah mimi ata labda.. lkn picha za effect sizikubali..
mtu akikusifia kwa picha ya effect tambua anakusnitch tuu
 
Hahah mimi ata labda.. lkn picha za effect sizikubali..
mtu akikusifia kwa picha ya effect tambua anakusnitch tuu
Bahati mbaya sana mara nyingi natumia picha za camera yangu ya Samsung. Ila watu wanaopiga na Iphone picha zao huwa
na hapo hamna effect ameweka zaidi ya camera tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…