maana atapofuka kweli. Maana nasikia Sanchoka anafanyaga mabalaa kweli huko. Wadada wengine wepi hao? Siingiagi huko mara nyingi ila kama kuna wakichaa niwe naingia niobe uchizi wa watu

We mwanaume huwez elewa haya mkuu. Sababu skin tone ya mtu ukipiga na huawei mbaya mbaya zile na IPhone lazima zitokee tofauti sasa utaonaje hiyo skin tone?