CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Basi sweetlady ngoja nimuache,Wewe dudu jeusi inaonekana hata roho yako ni nyeusi, unapenda uchokozi sana wewe, na vile Y_M sio bingwa wa kucheza na maneno kama wewe ndio mana unamwonea! Mwache mwenzio, hajawahi kutofautiana na yeyote kwa ubaya why mnamfanya akose raha? Sio vizuri hata Mungu hapendi!
Poa. By the way thanks for being there for me. I hope one day i will be able to return the favor
Ahaa!kumbe unataka niendelee,ngoja ntamuibukia mitaa ya nyagwa weekends.Afu wewe nikikukamata! Labda usikatize mitaa ya kwetu! Mchokozi sana wewe! Asalimu amri ndio nini maana yake?
Mshtuko wa nini sasa? mbona yuko kwenye mikono salama tu. wewe mwambie nitonye akuppatie ujauzito mwengine haraka kabla Fellow tablet hajafkuzwa kazi mateniti.Ukimtaja husninyo unazidi kunletea mshituko, mabaki ya mimba nayo yatatoka bana...
Wivu sina ila roho inauma!... FT alishafukuzwa zamani inasemekana alikuwa kinara wa mgomo wa madoc. Siku hizi ni konda..Mshtuko wa nini sasa? mbona yuko kwenye mikono salama tu. wewe mwambie nitonye akuppatie ujauzito mwengine haraka kabla Fellow tablet hajafkuzwa kazi mateniti.
Hapo red apo! Dah! umekamilisha siku yangu aisee dah! fellow tablet kawa mpiga debe? kulalekiWivu sina ila roho inauma!... FT alishafukuzwa zamani inasemekana alikuwa kinara wa mgomo wa madoc. Siku hizi ni konda..
Ndio hivyo, maisha ni kupanda na kushuka,..! Huna mpango wa kufungua zahanati weye?Hapo red apo! Dah! umekamilisha siku yangu aisee dah! fellow tablet kawa mpiga debe? kulaleki
What favor watch yor tongue dogo
Ndio hivyo, maisha ni kupanda na kushuka,..! Huna mpango wa kufungua zahanati weye?
Hahahaha! Unamaanisha hata rais wa nchi na mawaziri wake? Wabunge pia ndani daaah.Aaargh bongo zahanati hailipi watu wote washirikina.
Mpaka mods.Hahahaha! Unamaanisha hata rais wa nchi na mawaziri wake? Wabunge pia ndani daaah.