Latimore Mimo wangeci
JF-Expert Member
- Feb 1, 2019
- 898
- 1,081
- Thread starter
-
- #141
Dope hio ni ka playlist nzima thats dope,wah am shocked you know hadi Wangechi,uko sawa but you know in kenya the dopest artist huwa hawachezwi sana,kuna dem anaitwa Phy huyo ni moto,kuna kagwe mungai,kuna Elani,Leband,Nadia mukami we have very dope artist just to mention a fewNaowasikiliza.
-will Paul
-Avril
-wangechi
-Femi one
-khali
-Jua kali
-Nameless
-Victoria kimani
-Wyre
-Abbas
-shiski
-Oxido
-Kristof
- Kaka sungura
Few to mention.
Haha hauezi nishika mi ni boy[emoji2] [emoji86] [emoji85]Hahahaaa! Hapana bana. Mi nitaishia 'kukushika matiti'. 😀. Mchizi yuko poa mbaya.
Half of my life is music and half of my music is hip hop-underground.Dope hio ni ka playlist nzima thats dope,wah am shocked you know hadi Wangechi,uko sawa but you know in kenya the dopest artist huwa hawachezwi sana,kuna dem anaitwa Phy huyo ni moto,kuna kagwe mungai,kuna Elani,Leband,Nadia mukami we have very dope artist just to mention a few
Sent using Jamii Forums mobile app
Thnx i like you,n btw thats the culture of music si mtu kudharau music ingine tunafaa tu appreciate zote na ku appreciate the music too,juu music ya Tz si same na ya Kenya but hatufai kufanya ikae nikaa mashindano ama chuki,music is music,audience ndo hu differ juu si kila mtu hatapenda hip hop,kuna wenye watapenda lingala,but that doesnt mean wako less important,hii ndo messsage yangu kwa hao muna bash kenyan music,kila mtu ana taste yake so respect that,inaitwa personal space,sijui ka Tz you practice it,hauezi tu kuja kwa personal space na kuongea shit,kuwa tu civilisedHalf of my life is music and half of my music is hip hop-underground.
Nilianza kumfuatilia Baba yao kipindi yupo Coolgang anarap na kina Oxido kabla hajaanza kufanya trap.
Wangechi nao na kina Femi nimewafuatilia kitambo. Muziki wa kenya naujua.
Copied.Thnx i like you,n btw thats the culture of music si mtu kudharau music ingine tunafaa tu appreciate zote na ku appreciate the music too,juu music ya Tz si same na ya Kenya but hatufai kufanya ikae nikaa mashindano ama chuki,music is music,audience ndo hu differ juu si kila mtu hatapenda hip hop,kuna wenye watapenda lingala,but that doesnt mean wako less important,hii ndo messsage yangu kwa hao muna bash kenyan music,kila mtu ana taste yake so respect that,inaitwa personal space,sijui ka Tz you practice it,hauezi tu kuja kwa personal space na kuongea shit,kuwa tu civilised
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha we ni dem nilijua lazma hupende Otile haha n kubana pua naskia kila mtu hapa akisema maybe thats the kenyan in us,tukiongea munaskia nika tuna bana pua,lakini bdo unapenda tu tukiongea tukibana pua?mie namkubali sana Otile Brown,anabana pua lakini nyimbo zake zote ni hits
Umeskia yake ya kitambo buh si sana inajiita pakate,its a very good songmie namkubali sana Otile Brown,anabana pua lakini nyimbo zake zote ni hits
Umeskia yake ya kitambo buh si sana inajiita pakate,its a very good song
Sent using Jamii Forums mobile app
stupid swahiliHaha why you lying mbele ya kila mtu,Nairobi we rarely talk about Tz and any tanzanian whose.been here can tell you that,pole kukuvunja roho ya pili you talking sana about SA na.venye mnasikiza mziki wao,nikikwambia SA wanajua alot about kenya than.Tz utaona nakupima actually East africa wanajua kenya tu na sitaki ikae madharau but wewe ndo umeanza moto huwezi zima,ya tatu,Music evolves na chenye unafaa ujue Tz ni wasafi tu so ikikufa hakuna Tz sorry to say where as kenya Khaligraph,nyashinski,sauti sol hao wote ni separate artist ya mwisho kuna kitu imetokea inaitwa #play kenyan music hadi imefika nigeria so sai kenya haitaki ujinga its either tu claim top spot ama number two,aki sikuwa nataka kuongea hii yote,but umeniforce sorry ka nimekuhurt,mzae
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah ni yake,the guy is kinda dope sai ametoa mpya inaitwa kenyan girl unaeza i check out haha that is kama haujachoka na kuskia watu wakiongea na pua[emoji12] [emoji1]nilishawahi kuusikia ila sikujua kaimba Otile,lol waoh hongera Otile
Yah ni yake,the guy is kinda dope sai ametoa mpya inaitwa kenyan girl unaeza i check out haha that is kama haujachoka na kuskia watu wakiongea na pua[emoji12] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Chaguo la moyo ni kali,buh ni more girlish but nakuelewa we ni dem,dume ka mimi ni hard unipate nikiskia hio[emoji85]Naijua hio ya Kenyan Girl ni nzuri sana ila babylove na ile ya chaguo la moyo I can listen to these songs all day
hahahahaWakenya bwana, utasikia wimbo unaimbwa eti 'iita wazima moto tukazime moto, dawa ya moto ni moto...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama kuandika huwezi, je kwenye kuongea si ndio utakuwa unaongea kama bata anayeharisha.Haha why you lying mbele ya kila mtu,Nairobi we rarely talk about Tz and any tanzanian whose.been here can tell you that,pole kukuvunja roho ya pili you talking sana about SA na.venye mnasikiza mziki wao,nikikwambia SA wanajua alot about kenya than.Tz utaona nakupima actually East africa wanajua kenya tu na sitaki ikae madharau but wewe ndo umeanza moto huwezi zima,ya tatu,Music evolves na chenye unafaa ujue Tz ni wasafi tu so ikikufa hakuna Tz sorry to say where as kenya Khaligraph,nyashinski,sauti sol hao wote ni separate artist ya mwisho kuna kitu imetokea inaitwa #play kenyan music hadi imefika nigeria so sai kenya haitaki ujinga its either tu claim top spot ama number two,aki sikuwa nataka kuongea hii yote,but umeniforce sorry ka nimekuhurt,mzae
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama kuandika huwezi, je kwenye kuongea si ndio utakuwa unaongea kama bata anayeharisha.
Mtu kama wewe ukiniongelea kipumbavu hivyo ninakuta kelebu nyambafu
Kwa muda tu,na the new# mtaumia juu kusema kweli most of wasafi shows na income mob hutoka hapa,in short kenya is trying to kill your music but wanatumia ujanja,thats kenya n thats how they work,