How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
Nashukuru watanzania wenzangu kwa kutambua mchango wa CHADEMA katika ukombozi wa nchi hii na hasa ishara nzuri iliyonyeshwa Igunga ni dalili nzuri za ushindi kuelekea mwaka 2015 tusikate tamaa ni mwanzo mzuri cha muhimu ni kuhakikisha tunatoa changamoto kwa wingi na kukisaport chama kwa hali na mali
 
Naomba msada wana jf,kwa walioripoti udsm vip kuhusu usajiri? Wanaruhusiwa walioripa direct cost tu bila ada?
 
Hi wanajamii. Nafurahi kujiunga na crew hii hapa ya kijamii. Naombeni mnipokee jamani. Tupo pamoja na tuendee kuwa pamoja jamani. Chama kubwa linapokubalika wafuasi huongezeka. Nami nakiri ubora wa forum hii na kujiunga. Big up kwa Founders pamoja na Washiriki wote.
 
Huwa kuna wakati inatokea hivyo. Mimi binafsi kuna wakti huwa nataka ku change profile inaendelea kudai password
 
Madogo wa fm 4,nao wanajipindua na necta,all da best 2them,its like final btn st kayumba n st emmy
 
jamani,inawezekaneje mtu ufanye kazi siku 30 bila kulipwa mshahara tena niendelee kukopesha hadi leo tarehe 5 october,kweli watanzania waungwana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom