clear!Mkuu kapuchi,
Naomba kwa niaba ya wenzangu tuwie radhi kwani hii topic ilikuwa iko mbali na wengi. Naiweka juu kabisa ili iwe inasomeka kirahisi na wanaokuja na maswali waweze kujibiwa kirahisi.
Kuhusiana na avatar (picha) yako basi nenda link hii:
https://www.jamiiforums.com/profile.php?do=editavatar
Kwa mambo mengine juu ya nini cha kufanya kulipa jina lako mambo mengi zaidi basi tembelea hii link:.
https://www.jamiiforums.com/usercp.php