habari ndugu zangu watanzania mie nilikuwa naomba nichangie swala moja tu la udini,udini ndugu zangu ni mbaya sana udini unaleta machafuko,kubaguana,kunyosheana vidole na hili swala la udini linaletwa watu wachache wenye itikadi zao kwa maana ya maslahi tukitaka tuangaria heti fulani jina lake lina mlengo fulani wa itikadi jamani tutafika pabaya ukienda mashuleni,mahospitalini,maofisi,vyombo vya dora,mahakama,serikalini,vyamavya siasakila mtu anaitikadi yake binafsi sasa kwa nini mnataka kutugawa jamani tuyaangarie haya kwa makini nawakilisha kimpumu