All the member of JF napenda kuwappa salamu na pngezi kwa kzi nzuuri mnayoifanya hapa,
Kwani inaelimisha na kuiweka jamii katika hali ya kujua na kufahamu ni nini kinachoendelea katika
nchi yao,na Dunia kwa ujumla wake.Nawapongeza sana.Ni mara yangu ya kwanza katika jf,nadhani
tutakuwa pamoja katika kujadili mada na kuelimishana mambo mbalimbali,pia katika
kupeana habari mbalimbali.Peace and love.:smile-big: