[TD="class: data"]Tanzania after 50 years of Independence has miserably failed to promote sound socio-economic reforms for its people, Stable electricity is still heavily politicized and seems like a far-fetched or unrealistic phenomena,corruption is rampant, people still live under meager conditions while our natural resources and land rights are being awarded to foreign firms whereas our so-called leaders remain incompetent, arrogant and self-loathing...Watanzania tumechoka!!!! In the spirit of civic unity and for the love of our country, its time to tell Kikwete and his CCM party to pack up and GO in order to make room for REAL reforms!Its time for REAL change, Its time for the people to STAND UP against this idiocracy!!!
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Follow the dialogue and momentum through the link below.....
Tuwaombee viongozi wetu wasishakamane sana na mali watashindwa kukemea uovu na hasa ufisadi. Viongozi wa leo wanajipenda sana na ndio maana wanaona lakini wanaogopa kusema ukweli wanashindwa kukemea uovu kama walivyofanya akina Yohana Mbatizaji kupelekea kukatwa kichwa. Wanajenga urafiki wa kinafiki na watenda maovu hivyo itakuwa ngumu kusema no kwa uovu.Mfano ni mikataba mibovu ya madini na kupelekea watu wetu kuuawa wamekaa kimya je wanaunga mkono wanakuwa kama raisi wetu utafikiri wako nje ya tz. Lakini wajue hakuna uovu unaofichika mpaka mwisho usio gundulika na kulaaniwa na Mwenyezi Mungu. Lakini na viongozi wa serilkali hamtaki kuambiwa au kisikia ukweli baadhi ya viongozi wanasema ukweli na kukemea mnaanza kuwabeza. Ila siku inakuja na haiko mbali watu watakimbia mali zao za ufisadi. Mwenye masikio na asikie na mwenye pua na anuse.
waungwana naombeni sana ushirikiano wenu kwani ndicho hasa kitakachonifanya nisijutia uamuzi wangu wa kujiunga kwen JF.cko master sana kwa n'net use,naninatamani sana kujua vtu vingi..................
Desktop za dell brand new specs HDD ni 250GB Ram2Gb na processor speed ni 2.9Ghtz kwa Tsh 600,000 ni CPU na Monitor ya 15inch. kwa mahitaji piga no 0715 414162
NB:Kuna punguzo atayechukua kwanzia tano na zaidi.
kama kuna watu duniani ni wabaya basi ni hawa wasio penda haki duniani (msaraba) tazama mabo wanayofanya katika hii dunia wanavyo uwa watu pasina sababu za msingi sasa wamachokoza moto watajua nini kilichomnyoa manyoa kanga