Ndugu zangu watanzania naibuka kwa mara ya kwanza kwa kuuliza kuwa "Mauaji yafanyikayo wilayani Tarime mkoani Mara na Mapolisi mnalichukuaje maana serikali kama serikali inruhusu raia wake kuuawa inahitaji kubaki na ardhi yenyewe? cjui ni hekima ama hekimiwa itumiwyo na serikali!