Hellow Tanzania poleni na harakati dhidi ya wavuna jasho,ni wakati muafaka kwa sasa kama watanzania tunaotambua hali halisi ya uhusiano uliopo kati ya kipato cha mtanzania wa kawaida na mizani ya mfumko wa bei unao endelea,tulizungumzie kwa mapana na marefu yake kwani tambua kuna watanzania ambao wanaguswa na wanazidi kathirika lakini hawawezi wakazungumza suala abalo ni zao la kimfumo,hellow naomba mada hii ijadiliwe ni suala hatari kwa mustakabali wa ustawi wa jamii na usalama wa Tanzania kama taifa.