How to unlock incoming call

kijazi07

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2016
Posts
1,036
Reaction score
2,240
Aseeh naimben msaada simu tecno camon 12
Mtu akipiga anaajulishwa kwamba namba ipo busy na huku unakuta missedcall tu yan nimejaribu mbinu nying ila naona nimefika ukomo wakubwa na wataalamu wa hiz kaz naomben msaada
 
Check kma umemblock. Na pia hakikisha hujaweka simu kwenye "4G only" mode
 
Nikitaka uniuzie unauza shilingi ngapi?

Tecno zina app inaitwa phone master. Ingia kwenye phone master angalia sehemu ya kublock cheki kama umeblock incoming calls.

Ile ya kublock kwa code (nimesahau code) hua unajibiwa namba haipo na wewe huku hata missed call haiji.

Cheki kama umeenable 4G tuu pia.

Toa hiyo line weka kwenye simu nyingine, jaribu kuipiga ikiita na kwenye phone master umekuta kila kitu kipo sawa jaribu na line nyingine kwenye hiyo tecno uone kama inaita.

NB. Kama phone master itakua ok unaweza jikuta ukatakiwa ama kurestore simu au kurenew line.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…