Free blackberry unlock code

drphone

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
3,542
281
Ndugu wana JF wote kwa pamoja tupo kuelimishana na kugawana ujuzi nk na kwa mwaka huu mpya naanza na hili la free code unachotakiwa kufanya nitumie imei no yako na mep kwa mfano:

IMEI : 359484025475099
MEP : MEP-06813-002

mep ni bb security inakuwa nyuma kwenye cover utaiona

namna ya kuingiza code utakazo zipata ni;
Model : All BlackBerry
1 - Using the menu go to Settings Menu -> SIM card pressselect.
2 - While holding the SHIFT key, type mepd
3 - You should now see the five locking categories listed.
4 - While holding the SHIFT KEY, type mep2.
5 - Release the shift key.
6 - You are now prompted to enter the Network MEP code (it will also state how many attempts left)
7 - Enter the code
8 - Enter Return/Enter
9 - The device should then be unlocked

sasa basi kwa watako penda basi tushauriane je tutumie njia ya pm au hadharani for me ningependekeza kwa pm ila nakaribisha maoni hii ni popote ulipo as long upo jamii forums zitakufikia.

UKIWA NASWALI USISITE KUULIZA ME NAWATAALAMU WENGINE TUTAKUJIBU.
 
acha ujinga huji kitu ho ni uongo kabisa, mep zimejificha mpaka utumie engineer mode screen master, ehe bwana wewe ni Dr phone yupi
 
Mkuu nina Blackberry Storm II ya Verizon. Iko unlocked. Kwa sasa ninaitumia kama simu ya kawaida lakini kuunganisha na BB services imeshindikana. Nimejaribu mitandao yote bila mafanikio.Naomba msaada wa ku activate BB service.
 
acha ujinga huji kitu ho ni uongo kabisa, mep zimejificha mpaka utumie engineer mode screen master, ehe bwana wewe ni Dr phone yupi

nimependa signature Jisahihishe kabla ujasahihishwa Maana ukisahihishwa sahisho laku utaulumu msaahishaji

hivyo sahihisha kauli yako uloanza nayo kumbuka tupo jamvini jamvi la magreatthinker

mimi ni drpnone yule yule tulosoma wote kidato kimoja eeeh eeh eh
 
Mkuu nina Blackberry Storm II ya Verizon. Iko unlocked. Kwa sasa ninaitumia kama simu ya kawaida lakini kuunganisha na BB services imeshindikana. Nimejaribu mitandao yote bila mafanikio.Naomba msaada wa ku activate BB service.

umejaribu kuiflash mkuu naje ina IT policy
 
Bora umeligundua hilo... Dr4ne unataka kuwa kama yule dogo wa Chizicomputer.

@mganyizi & mgt
naomba hoja zenu kwamba nililosema aliwezekani pia zitumwe kama nilivyosema kisha tuone tuache ushabiki wakijinga jinga kumbukeni mpo hewani na kuna wenye ujuzi wa hayo mnayojua/tunayojua kuliko nyie/sisi so fairplay
 
Sasa watatuma vipi hizo mep code. Ingali hazipatikani kirahisi kama ulivyoeleza hapo juu?

Haya mtaalamu bb yangu iko unlock na haina IT POLICY yoyote, kila nikiweka line ya mtandao wowote inakubali, shida ni kwamba siwezi kupokea simu wala kupiga. Nikimaanisha imeblockiwa kwenye server. Je unaweza kuitengeneza mtaalamu wa simu Drphone?
 
Ayaaa! Drphone ni wewe kweli? Au umekunya angle?

Hata ukiiflash haiwezi kukubali maana pin yake ipo active kwenye mtandao mwingine tofauti na anaotumia jamaa.

mkuu ni mimi angalia maelezo yangu vzuri mkuu.

ila ww ujatoa mchango wako mkuu
 
Sasa watatuma vipi hizo mep code. Ingali hazipatikani kirahisi kama ulivyoeleza hapo juu?

Haya mtaalamu bb yangu iko unlock na haina IT POLICY yoyote, kila nikiweka line ya mtandao wowote inakubali, shida ni kwamba siwezi kupokea simu wala kupiga. Nikimaanisha imeblockiwa kwenye server. Je unaweza kuitengeneza mtaalamu wa simu Drphone?

mkuu kabla ujakurupuka soma maelezo vzuri kwanza maana nimesema tuma imei no yako na mep ambazo zimeandikwa kwenye cover ukitoa betry utaziona na nimetoa mfano wake zilivyo je kunalaziada nilipokosea pls nirekebishe, tusahihishane, tuelimishane tupo kusaidiana na kuelimishana akuna anayejua kila kitu hapa dunia na akuna alie perfect kwenye taaluma zote
 
haha dr hapo patamu nitaku pm mkuu. ila ushauri wangu kwa wote wanao ponda nawaomba mshindane kwa kushusha vitu sio maneno mbofu mbofu hapa jamvini.
 
onyesha vitu watu tunyonye mkuu sio kukatisha tamaa wasomaji weka vitu jinsi wewe unavyo fahamu kuhusu MEP
 
onyesha vitu watu tunyonye mkuu sio kukatisha tamaa wasomaji weka vitu jinsi wewe unavyo fahamu kuhusu MEP

mkuu akunachochote kuhusu mep wanachojua ambachoakijulikani na kwenye cover inakuwa zimewekwa hizo mep code so ukikalukulati imei na hizo mep unapata unlock code ukiweka cm inafunguka sitaki kuzama sana ili na wakuu wenzangu mgt na mganyizi waweze nao kuchangua
 
haha dr hapo patamu nitaku pm mkuu. ila ushauri wangu kwa wote wanao ponda nawaomba mshindane kwa kushusha vitu sio maneno mbofu mbofu hapa jamvini.

poa mkuu
naona wengi wapo kimaslai binafsi zaidi so am so sorry kama nimegusa personal interest za watu ila masilai ya taifa mbele kwanza mengine yatafata nyuma
 
mkuu akunachochote kuhusu mep wanachojua ambachoakijulikani na kwenye cover inakuwa zimewekwa hizo mep code so ukikalukulati imei na hizo mep unapata unlock code ukiweka cm inafunguka sitaki kuzama sana ili na wakuu wenzangu mgt na mganyizi waweze nao kuchangua
Kama unataka kuwasaidia watu kweli basi weka hiyo software hapa ya kucaculate hizo MEP.... na siyo unafanya kazi ya kuchukua IMEI # na MEP code za simu za watu na usiwatatulie matatizo yao.
 
Kama unataka kuwasaidia watu kweli basi weka hiyo software hapa ya kucaculate hizo MEP.... na siyo unafanya kazi ya kuchukua IMEI # na MEP code za simu za watu na usiwatatulie matatizo yao.

kumbuka hii sio mara ya kwanza alianza calvin power code huawei modem na tulisaidia watu humu na akukuwa na malumbano hope ktk hili pia kutakuwa na ushirikiano na kukuhakikishia hili utaona watu wakituma hapa watajibiwa na wataalamu wengine pamoja na ww sina free software ya kukalukulate code natumia box ila as soon nikipata nitatoa ila kwa sasa tunakwenda kwa mwendo huu hapa
 
Tofauti yako na Calvin Power ni kubwa calvin power alianza kwa kutoa software usika na alipoona kuna watu hawawezi kuitumia ndio akawaitisha IMEI # za modem zao kitu ambacho wewe haujafanya hivyo....
 
Back
Top Bottom