How to track someone's phone?


nimefanikiwa lakini nataka niwe naziona na namba ambazo huwa anawasiliana nazo, maana naona yanakuja majina kama alivyosave katika contact yake ya simu. Mayu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu. Nilifanikiwa. Mwanzoni niliweza kuona msg ila ilikuwa siku 2 za mwanzo tu. Baada ya hapo sioni chochote. Tatizo litakuwa nini?
 

Kiongizi hiii application ni nimependezwa nayo nielekeze jinsi ya kulipia sasa ili niitumie bila kuanstall na ni sh ngapi kwa mwaka
 

Kaaaz kweeel kweeel
 
Last edited by a moderator:
Ukiweka kwenye simu yangu within a day or two nishajua!

Hii mtu mjuzi wa tech huwezi kumfanyia.
 
How will you know????

Swali zuri.

The Child tracker app from XDA nimeiinstall na kuipa root permissions na kuangalia utendaji kazi wake vizuri. Ni nzuri na hatari sana, ila nitaishtukia kama ifuatavyo:

Kwanza kwa kuwa inatumia root, kila inapotrace kwa interval lazima italeta ile notification toast ya 'Granted System to get root permission'. I know what root is, na kuona app inatumia root muda wowote inaojiskia lazima kutanispook na ntafuatilia. Actually kuna app moja ilikua na mchezo huu nikafuatilia nikagundua ni bug na ilikuwa fixed kwenye update. Ogopa sana root privileges.

Pili, inaweza ikawa imejificha kwenye app drawer au launcher, ila haiwezi kujificha kwenye App manager yoyote. Na mimi natumia Root Task na App Manager. Kuona a certain downloaded app called 'System' with a fishy package name like 'me.safet.safetme' instead of com.google.android lazima kutanishtua.

Na kwakuwa mimi ni mtu wa kucheck data use....what do you expect? Si ntaiona tu inavyokula data?

Kwa kukuambia tu, huu mda nliotype hii post tayari imeshaomba root privileges mara mbili...kwahiyo isingekaa hata siku moja nzima kwenye simu yangu.

Ila sasa, ubaya wa hii app ni kwamba ikishakuwa installed na configured inatuma a great deal of incriminating data hapo hapo. Texts, Calls, Browser history, Installed apps kwahiyo by the time inashtukiwa inaweza ikawa ishafanya damage ya kutosha.
 

Meseji mbili tu za adui ni ushindi, hadi ushtuke tayari mwenzako ameshapata taarifa.
 
MAMBO YA CYBER CRIME HAYO, MWENZENU KULE MAREKANI ANATUMIKIA KIFUNGO CHA MIAKA 18 mambo kama hayo n huu ndo kwanza mwaka wake wa kwanza, unatafuta ujue siri zake iki zikusaidie nini? Afu ukijua nia yako iweje? Hahahaha mmekosa kazi za kufanya nyie
 

Vp kuhusu mtu ambae hatunii android phone
 
Last edited by a moderator:
hii ni waraobaini ya wachepukaji!! na ikibidi wewe namwenzio mnainstall pamoja. ila je kama ofisi tofauti je si nanunu cmu na jina mtum mwingine vijana kibao unampa book jero tu anasajili kwa jina lake then unaweka kwa ofisi kwa kwenda mbele na hapo jeeee tracking ????
 
Mleda mada ahsante sana.
Nilikuwa na hii hii shida na hivi majuzi nimeingia kwenye mtandao nikasoma kuhusu hizihabari na nikajifunza mengi bt bahati mbaya mlengwa wangu yupo dar na mm nipo mkoan!
kuispy sim yake ni shida kwa sababu sipo karibu nae ili kufanya hizo installations.
Ninapata shida sana na huyu mlengwa wangu maana kila tukiyofautiana anatishia kuniacha. Nahisi anatafuta sababu tu na huenda anamipango yake anayojihami nayo. Najua kabisa kuwa nitaumia bt nahitaji kumjua huyu mlengwa wangu na nijue ni nini kinaendelea katika ulimwengu wake hasa katika hiki kipindi ambacho tuko mbali.
 
je naweka kwenye simu yake tu hii app au na kwenye simu yng maana najiuliza jinsi gani ntapata hizo notification
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…