Nitajaribu kueleza na kutumia picha pia
1 CHILDREN TRACKER
>Download app hapa
http://forum.xda-developers.com/attachment.php?attachmentid=2824935&d=1404104298
Unapoanza kufanya installation app itasomeka kama SYSTEM........Dont worry hii ni kumfanya mwenye simu akienda
Apps Settings akiikuta aamini hii ni app muhimu ya simu so hatakuwa na hofu nayo
Ukimaliza kuinstall click OPEN, itafunguka kama inavyoonekana kwenye picha juu......click ACCEPT&CONTINUE
Ukifika hapa una click REGISTER
Ingiza email yako ambayo ndio utatumiwa password kwenye email utakayo ingiza hapa
You can use temporary email from here
10 Minute Mail
Then click REGISTER
Then utafika hapa ambapo utaambiwa login information zako zimetumwa kwenye email yako ulioingiza hapo juu
Nenda kwenye email yako, Ukimaliza click NEXT
Kwenye email yako utakuta umetumiwa taarifa hizo, link ya activate, email yako na password pamoja na link ya website utakaoitumia ku login na kuona tracking zote za simu lengwa
Rudi kwenye simu
Ukifika hapa chagua vitu unavyotaka kutrack kwenye simu lengwa then NEXT
Hapa sasa hiyo ya kwanza ukitick Enable evice Admin maana yake unaifanya app isiweze kutolewa(uninstall) kirahisi, ukienda kwenye Apps settings unakuta option ya ku uninstall haifanyi kazi hadi uende seting>security>phone administrators ili ui Deactivate ndio utaweza kuitoa....so ukitick itakupeleka device admn ili ui activate. uamuzi ni wako kama mtumia simu ni layman wa simu unaweza kuacha
Hapo kwenye HIDE APPLICATION ni muhimu sana kuhakikisha umepa tick ili kuificha apps isionekane, hizo no ziache maana hutaitaji kuishika simu yake so just click OK.....the NEXT
Hapa sasa unaweza kuclick go to application kuangalia kama app imeanza kufanya kazi na ikiwa OK itaoneka kama hivi hapa kwenye picha ya chini
Baada ya hapo exit kwa kubofya Home button or whatever..........you're done na simu ya mlengwa, mrudishie
Hakikisha wakati unafanya hili zoezi simu iwe na access na net
Rudi sasa kwenye email yako uliotumiwa
Kwanza kabisa click kwenye link ya ku ACTIVATE ACC yako
Pili ingia kwenye LOGIN SITE
SafeT - Children Tracker kisha ingiza email yako na password uliyotumiwa kwenye email......Viola
Uzuri wa hii App
Ipo very simple
Website ipo vizuri haina complication zozote
Hata akiwa offline apps itakusanya taarifa zote, siku akiingia tu hewani inatuma taarifa zote kwenye website ya nini alifanya wakati akiwa offline
Ubaya wake
Ni siku saba tu baada ya hapo inaacha kufanya kazi hadi ulipie, inabidi sasa kila baada ya siku saba uitoe na uinstall upya kwa kutumia email nyimgine
Whatsapp, FB, tweeter hazifanyi kazi hadi simu lengwa iwe rooted
Kwa wasio watundu wa teknolojia nadhani hii inafaa zaidi kuliko ile ya pili, haina complication nyingi
Will be back kwa njia ya pili