How to track someone's phone?

Mapenzi ya kibongo yana usanii mwingi nadhani nilikuwa mtu wa kwanza kuintroduce hio mobile tracker free kwa raia wa jf nikawaelekeza freshi cha kufanya.

Binafsi ushenzi niliokutaga kwa mtu wangu ulikuwa ni maumivu tu kwangu nikaanza gombana nae daily hadi kuachana.

Sishauri kama huna mpango wa kumuacha mpenzio hasa mke. Ni heri uendele kuwa boya gizani kuliko kufunuliwa ukweli na hio app kuwa umeolea watu mke. Hutakaa kwa amani na utavuruga ndoa yako. Ione kama ukoma hio app!
 

Kwa kweli hata mimi nilijaribu kwa mtu wangu wa karibu kwa madudu niliyoyakuta mpaka sasa tulishaachana. Kwa kweli kama huna mpango wa kuachana naye usijaribu hasa kwa mke naomba msijaribu kabisa.
 
Mimi imenisaidia kudhibit ndoa yangu
 
Kwa kweli hata mimi nilijaribu kwa mtu wangu wa karibu kwa madudu niliyoyakuta mpaka sasa tulishaachana. Kwa kweli kama huna mpango wa kuachana naye usijaribu hasa kwa mke naomba msijaribu kabisa.
Baba acha hio kitu ni sawa na kupiga bomu dana dana. Ni shida!!!
 
Nikifahamu hii kitu itapendeza sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii app noma aiseee hapa nataka nipige mtu chini

Kamwe usimuamin mwanamke zaid ya mama yako

Tunawashukuru sn walioileta hii app mana inakufunulia uozo wote wa mtu
Hahahah ulifikiri uko pekeyako eeh..Msione tunakuwa wabahili na pesa zetu mambo ni kama hayo! Unapambana umpendezeshe na kumhudumia mtoto wa mtu huku kuna boya anajipigia for free πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ndio maana sitaki mwanamke asiye na shughuli yake rasmi!
 
kaka mayu naona kwangu imetrack though ni simu zilizoingia na picha ila sijapata text nione kama itazitrack...now concern yangu ni kuwa ikiwa tayari kwa simu A na mimi ni simu B nawezaje kuiona kwangu bila kugusa simu yake...?
Unaiona kwa dashboard ambayo ni kupitia email ambayo umesajilia wakati unainstall kwenye simu ya mlengwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…