C Camp Gilgal JF-Expert Member Dec 13, 2014 4,452 4,580 Mar 14, 2016 #2 Sure! Nimekumbuka enzi hizo niko home mzee alikuwa anafuga kuku wengi. Tuliitumia technique hii kujua ubora wa yai. Kuna ile nyingine ya kulitazama yai direct kwenye jua, unaona mpaka ndani.
Sure! Nimekumbuka enzi hizo niko home mzee alikuwa anafuga kuku wengi. Tuliitumia technique hii kujua ubora wa yai. Kuna ile nyingine ya kulitazama yai direct kwenye jua, unaona mpaka ndani.
Y ydn JF-Expert Member Nov 24, 2015 2,092 1,409 Mar 14, 2016 #3 nilikuwa najua mbinu moja tu kati ya hizo! Asante mkuu kwa kunijuza!