How to survive a wild Animals?

How to survive a wild Animals?

Mzee ukikutana simba hakikisha hupepesi macho, usigeuke nyumaa tanua mikono taratibu(SIO HARAKA) piga kelele za mgunrumo kadiri uwezavyo ila km unahisi hutaweza kaa kimyaa, maana ukiacha tuu imekula kwakoo, Nyoka nae Unapiga miguu chini kutengenza vibrations kwenye ardhi(Hapendi hii kbsa)
Haha dah kuna mtu kashawai kuniambia hii kitu sijui ni wewe mkuu? Sasa hao simba unaowakazia macho ni wa serengeti au waliofungiwa zoo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee ukikutana simba hakikisha hupepesi macho, usigeuke nyumaa tanua mikono taratibu(SIO HARAKA) piga kelele za mgunrumo kadiri uwezavyo ila km unahisi hutaweza kaa kimyaa, maana ukiacha tuu imekula kwakoo, Nyoka nae Unapiga miguu chini kutengenza vibrations kwenye ardhi(Hapendi hii kbsa)

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulijaribu wap hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom