Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,240
tokea Asubuhi PD inascan tu kusaka hizo tundu za kupenyea but haionyeshi dalili za kumaliza kuscan so Naona niwaachie wenyewe!
Mwenye kujua jinsi ya kutumia unlimited ya BB kwa PC anikonyeze hata kwa PM maana kila nikijaribu napata EDGE tu na mpunga unaliwa kama kawa. njunwa wamavoko chief-mkwawa Mwl.RCT Paul S.S Never give up nawaona hapo chini naombeni mwongozo tafadhali
nimetumia sana hio trick ipo ovyo speed ndogo tafuta browser kama firefox search extension user agent switcher ifanye browser yako kama bbm ur done utaenjoy