How to scan for Free Open Ports in Any ISP for Free Internet

Naomba nieleweshwe kuhusu haya mambo nitakayoorodhesha hapa..
1.basi la kabang
2.basi la kijani
3.tabsamu
4.basi jekundu

sielewi haya mabasi ni nini?...
 
1.basi la kabang
Basi la kabang linapiga safari Route za mikoa yote ya Tanzania piga *148*01# ulipe nauli yako
2.basi la kijani
Hili tripu zake zimejikita Zenj
3.tabsamu
Hili Dar,zanzbar na Arusha lkn areas za mwisho uko mbezi trip hazifiki
4.basi jekundu
Rangi ni nyekundu kama wekundu wa msimbazi bofya*150*66# kulipa nauli

>
Any Questions?
>

Naomba nieleweshwe kuhusu haya mambo nitakayoorodhesha hapa..
sielewi haya mabasi ni nini?...

karibu sana
 
Basi la kabang linapiga safari Route za mikoa yote ya Tanzania piga *148*01# ulipe nauli yako

Hili tripu zake zimejikita Zenj

Hili Dar,zanzbar na Arusha lkn areas za mwisho uko mbezi trip hazifiki

Rangi ni nyekundu kama wekundu wa msimbazi bofya*150*66# kulipa nauli

>
Any Questions?
>

karibu sana
Mnaongea lugha ambayo sisi wakina bashite tunabaki midomo wazi
 
Back
Top Bottom