How to remove gmail account

How to remove gmail account

Mimi naweza kukusaidia ila kwa sharti hili tuhakikishie kuwa hujaiba. Na isitoshe kama hujaiba hio email iliyofutwa ilikuwa ya nani? Jimwage maana Google wamefanya hivo ili kuzuia wizi na sio vizuri huku uje utushirikishe madhambi yako Yetu yanatutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Auala sio mtu, ni kwamba kwa simu za android, device manager ina uwezo wa kuhifadhi IMEI, then ukienda online mkuu itajua simu ipo wapi kwa kutumia hiyo imei

Sent using Jamii Forums mobile app
hujanielewa mkuu.

Mfano nimepoteza simu na kwa bahati mbaya zaidi Imei yangu siifahamu.
Nafanyaje fanyaje ili nipate simu yangu?
 
Back
Top Bottom