Good People
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 938
- 1,819
Nimefiwa na Jirani yangu sasa ndugu wameomba Chonde chonde nifanye lolote account yake iweze Kufungwa hivi inawezekana kweli au Mpaka Niende Ubalozi wa Marekani Dar au Nipige Simu Ubalozi wa Tanzania Marekani Ili wawasiliane na Facebook waweze Kuifunga Account. Mwenye Uelewa na hili.