How to process scholarship application forms

pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,161
880
habari zenu wakuu ..mimi nimehitimu masomo yangu mwaka jana ila bado sijapata ajira na hali ya maisha nyumbani kwetu ni tete sasa nilipata wazo la kuwa na plan A NA plan B YAANI NITAFUTE KAZI NA HUKU NINATAFUTA SCHOLARSHIPS matatizo yangu makumbwa ni on how to process fom, pili mimi nina GPA ya 3.0 je ninaweza kupata scholaship?tatu ninatafuta sholaship za mambo ya jamii levo ya masters je ninatakiwa kutafuta chuo kwanza nikipata ni apply scholarship? naomba msaada jamani familia yangu inanitegemea sana na hawana uwezo plz kwa anaejuaa kwa undani plz msaada jamani
 
Mmmh Moja ya qualification ya vyuo vingi hapa nchini ni watu wawe na GPA 3.5 kwa ajili kujiunga na masterz programmes, hata hivyo jaribu kuomba vyuo vya nje kwani sijui wao wanahitaji GPA ya ngapi?

Jaribu kupitia blog ya Makulilo au Scholar4Dev kwani kuna matangazo mengi ya scholarship huko

Kwa vyuo vya nje unatakiwa pia ufanye mitihani ya language proficiency kama IELTS au TOEFL ili kuwa na uhakika wa kupata kwani huwa wanahitaji sana hiyo kitu.
 
ni pm nkupe process kwa vyuo vingine TEFL si muhmu as long as utaweza provide evidence ya kuonesha kuwa english ilikuwa teaching language A level na wakati una pursue hiyo degree yako. GPA yako pia kwa vyuo vya nje inajitosheleza unaweza soma post graduate baadae ukaunga masters, so itategemea wataka scholarship ya post graduate au masters.
 
kuna mambo mengi ya kuzingatia kabla hujaomba scholarship mkuu, kuna mtu kasema um pm jaribu kuwasiliana nae ila kama utahitaji info. zaidi tuasiliane pia.
 
Ka issue itakuwa kwa PM na wangine wenye shida ka hizo itakuwaje!
 
Kupata admission kwenye master's programme utapata iwe ndani au nje ya nchi. Ugumu utakuja pale utakapokuwa unasaka hiyo funding/grant/scholarship, kwani utakuwa unapambana na watu wenye ufaulu mzuri na pengine wengine kiingereza ni lugha mama. Mimi nakushauri hivi kama unataka kusoma nje ya nchi: fanya hiyo mitihani ya kiingereza ufaulu vizuri kabisa; anza kuwa na utamaduni wa kuandika articles kwenye magazeti zinazohusu eneo lako la utaalam na current issues ambazo ziko kwenye debate ila km unaweza ku-publish kwenye academic journal ni vizuri zaidi; na mwisho hakikisha personal statement au research proposal iwe yenye mvuto kwa maana ya kwamba uandike katika contemporary issues au mada zilizo motomoto kwa sasa duniani, bila kusahau kuangalia interests za idara unayoomba. Mambo haya niliyoyapendekeza yanawezakufukia low GPA yako wakakuona labda uliteleza kwa bahati mbaya ili mambo unayajua. Kila laheri. Ukitaka msaada zaidi basi tunaweza kuwasiliana.
 
nipeni muda mpaka jumapili niandae page ntakayo weka hapa itakuwa na scholarships na fellowships nyingi nyingne kwa ajili ya tanzania na watu uwa hawa apply may be kwakuwa hawazioni au wanaogopa ku apply
 
Mmmh Moja ya qualification ya vyuo vingi hapa nchini ni watu wawe na GPA 3.5 kwa ajili kujiunga na masterz programmes, hata hivyo jaribu kuomba vyuo vya nje kwani sijui wao wanahitaji GPA ya ngapi?

Jaribu kupitia blog ya Makulilo au Scholar4Dev kwani kuna matangazo mengi ya scholarship huko

Kwa vyuo vya nje unatakiwa pia ufanye mitihani ya language proficiency kama IELTS au TOEFL ili kuwa na uhakika wa kupata kwani huwa wanahitaji sana hiyo kitu.
Mbona mm nina G.P.A 3.0 ya udsm na nilifanikiwa kupata admission ya kusoma masterz mzumbe......
 
Mmmh Moja ya qualification ya vyuo vingi hapa nchini ni watu wawe na GPA 3.5 kwa ajili kujiunga na masterz programmes, hata hivyo jaribu kuomba vyuo vya nje kwani sijui wao wanahitaji GPA ya ngapi?

Jaribu kupitia blog ya Makulilo au Scholar4Dev kwani kuna matangazo mengi ya scholarship huko

Kwa vyuo vya nje unatakiwa pia ufanye mitihani ya language proficiency kama IELTS au TOEFL ili kuwa na uhakika wa kupata kwani huwa wanahitaji sana hiyo kitu.

Hii qualification ya masters (GPA ya 3.5) sio sahihi mkuu. Second class lower division ambayo ni 3.4 na kushuka mpaka 2.8 unasoma masters vizuri tu.
 
nipeni muda mpaka jumapili niandae page ntakayo weka hapa itakuwa na scholarships na fellowships nyingi nyingne kwa ajili ya tanzania na watu uwa hawa apply may be kwakuwa hawazioni au wanaogopa ku apply

mkuu utakuwa umetusaidia sana! Ahsante kwa moyo wako
 
Mkuu Evram sio sahihi masters hata UDSM inaanzia lower second ambayo inaanzi 2.7 na kundelea hiyo 3.5 labda unazungumzia ututorial assistant

=
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom