Jamani na mimi pia nina tatizo kama hili ila mimi ninatumia lg p705.Tatizo ni kuwa applications nyingi nilizodaunlodi zimeingia kwenye internal sd card ambayo ni kama gb 3 na ushehe na kukariibia kuijaza kabisa ingawa nimeweka external sd card yenye 16gb.
1) Nifanyeje ili downloads zote ziende kwenye external sd card?
2)Ram ya hii simu naona imejaa kiasi kwamba imebaki 20% ya ram ndo natumia. Nifanyeje ili ram isijae?
3)Simu yangu inakwama kwama sana, je, tatizo hili huenda limetokana na hayo mawili hapo juu?