How to look Fashionable and Stylish

Bryson Thomas

Member
Dec 30, 2019
14
16
Kuvaa pia nakupendeza ni vitu ambavyo ni tofauti ila ni lazima ujue kwanza physical body structure yako na ni aina gani ya nguo zinaendana na body yako.

For Instance

1576053186993.jpeg


1572524316398.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba uje na mbinu za kuvaa suruali za kitambaa. kuna wengine tunazuiwa na "dress code" tunavaa mavazi ya aina flani pekee
 
Umevaa rangi nyingi saana
Nyekundu
Nyeupe
Khaki
Brown.
 
Sio mbaya lakini ungeweka zaidi hilo koti lingekuwa jeupe na hiko kiatu kingekuwa cheupe pia maybe Air Force nyeupe plain au yenye tik nyekundu iliopita kati.
 
Where all gut from to put thy picture, we ain' t all sharing same atmosphere
 
Back
Top Bottom