how to hide my ip address?


nafikiri wananajua,nataka niwape wakati mgumu kujua
 
Kaka binadamu tonatofautiana sana, kuna wenye kuamini chochote kile kwenye mitandao na kuna wale ambao wanapenda kutafiti kwanza.

Kabisa kaka ila kwenye mambo kama haya nadhani inabidi kufanya utafiti kiundani zaidi na kuelewa.......
 
Kabisa kaka ila kwenye mambo kama haya nadhani inabidi kufanya utafiti kiundani zaidi na kuelewa.......
Ni kweli kabisa huyasemayo, ila wengi wanataka watafutiwe kisha wawekewe hapa.
 
nafikiri wananajua,nataka niwape wakati mgumu kujua

Thanks hapo nimekuelewa na umeeleweka sasa, so nadhani sasa hivi baada ya kufafanua zaidi utakubaliana na yale maneno ya mwanzo ambayo mjomba RUCKUS alikuwa anasema mwanzoni kabisa. Tupo pamoja na ndio faida ya JF tunakutana na kupeana mawazo zaidi na kusaidiana na kama unadarasa zaidi naomba unipe na mimi please maana niliona umemuuliza mjomba RUKUS kama anajuwa IP ni nini na inatumikaje, unaweza kunisaidia hapo??
 
Ni kweli kabisa huyasemayo, ila wengi wanataka watafutiwe kisha wawekewe hapa.

Ndio problem kubwa kaka, ila ndio hivyo nadhani ni vizuri tukakubaliana na kufundishana na kukubali kukosoana na ikiwezekana tunasaidiana na tunapinga points kwa maelezo ya why nimepinga...... hapo darasa linakuwa zuri na kuelewa inakuwa rahisi.
 
Ndio problem kubwa kaka, ila ndio hivyo nadhani ni vizuri tukakubaliana na kufundishana na kukubali kukosoana na ikiwezekana tunasaidiana na tunapinga points kwa maelezo ya why nimepinga...... hapo darasa linakuwa zuri na kuelewa inakuwa rahisi.
Kaka huyasemayo ndio haswa inavyotakiwa kwenye mijadala, lakini ni wachache wenye uwezo wa kujadili namna hiyo.
 
Kaka huyasemayo ndio haswa inavyotakiwa kwenye mijadala, lakini ni wachache wenye uwezo wa kujadili namna hiyo.

Kabisa mkuu na ndio inavyotakiwa ili tuweze kufanikiwa na sisi wengine ambao hatujui kila kitu. maana sidhani kama kuna mtu anajuwa kila kitu sema kutokana na makutano then wengine tunasoma mambo mapya.ila thanks pia maana vile vitu vimenisaidia sana tena sana...Ubarikiwe sana mkuu!!
 
sasa subiri niwape experience mimi nipo chiana bana....

proxy zoooote wamepiga pini! hao wote kina hide my ASS.. etcl! web nyingi zinazotumia Amercan serveers china ni ngumu kuzipata au huzipati kabisa ..... kufungua facebook na other web sites zenye amercan servers tunatumia Personal VPN ... unanunua ukishalipa then unatumia Ips za UK na nchi zingine.. na pia tunatumia Free gate software kutoka kwa hawa jamaaa gonga hapa
hii software wanapata funding toka amercan Goverment bahati mbaya ni free katika nchi kama CHINA, IRAN, S.ARABIA .
 

papizo nachojua ip address ndio inakutambulisha kwenye internet,yaani ndiyo jina lako kwenye net,na najua kama watu wakiamua kukutafuta kupitia internet wanatumia ip address,nafikiri ndio maana wataalam walitafuta namana ya kuficha identity yako ukiwa kwenye net
 
tunaomba tuwe na special cource kama kuna mtu mwenye uwezo wa kuitoa,kuhusu internet faida zake,hasara,hatari zake,nafikiri kwetu sisi waafrica hili jambo ni geni kidogo,kufungua internet na kupokea email na kuchat haitoshi kusema unaijua internet,
kama kuna mtaalam anaweza kutoa darasa kidogo itatusaidia sana,
tunaomba iwe easy to understand,kuweka link hapa haisadii wengine wavivu kufatilia,lakini ukitoa kichwani na kueleza vizuri
utaeleweka zaidi
 

Rosmarie binafsi nitakupa link ya articles nilozwai kuandika hapa hapa Jf zinazoeesha faida za internet na ICT kwa ujumla.

I. https://www.jamiiforums.com/tech-ga...waziri-wa-mambo-ya-ndani-oneni-mfano-huu.html

hapo nimeongela kifupi polisi jamii na nikatoa mfano mfano wa polisi ya UK wanavyotumia twitter , youtube kuwaambia wananchi wanafanya nini?

II.https://www.jamiiforums.com/tech-ga...ubili-kutumika-video-audio-streaming-2-a.html
Hapo nimeongela faida ya youtube na streaming media. kama justin.tv fiada na fursa hizi maampuni ya tanzania sijui kwa nini hawazitumii. Ni bure na unaweza utangaza vivutio kama vya utalii


ELIMU ELIMU ELIMU ni faida kubwa
III. https://www.jamiiforums.com/tech-ga...mia-ict-kutatua-matatizo-halisi-ya-jamii.html

Tunaambiwa tuna uhaba wa walimu na vifaaa vyakufudshia. Internet na ICT zinawezaufuia mashima bila gharama . Mfano mwingine ni huu. https://www.jamiiforums.com/tech-ga...e-zenye-ladha-ya-ki-ict-na-zenye-mafunzo.html
Kama una ndugu anasoma sekondary dowload one of this muwekee kwenye CD au DVD badala ya kungalia kanumbaaangalie video ya hesabu au physicsKuna wale wa sekondary unaweza kupata mafunza wa mwalimu wa USA ukiwa dar bila malipo eg Khan Academy


Kupitia internet mwaafuzi wa chuo anaweza kupata lecture ya chuo cha Havard au stanford quality kabisa eg Academic Earth | Online Courses | Academic Video Lectures
 

Unaweza kutumia IP hider programu ambayo kujificha anwani yako ya IP. Kuna kura ya programu zilizopo katika online.VPN programu utapata kujiunga na mitandao binafsi kana kwamba wewe ni kukaa katika kompyuta za mitaa juu ya kwamba husika network.To kuchagua kama VPN huduma unaweza kwenda kwa njia ya kitaalam katika Lifehacker .com . Unaweza kuangalia kwa IP iliyopita kwa kutumia Ip-details.com na kuthibitisha hilo.
 

Matatizo ya Google Translator!!!
 

hiki kiswahili kimekauka vibaya mno,bora ungeweka tu kwa kimalkia.!
 

Imekaa safi sn hiyo mkuu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…