wakuu..
mi nadhani kwanza tumejibu swali la ROSE kuwa unaweza ficha IP adress yako hata kama ni Public IP...ila mapungufu yake ni kwamba huwezi funga moja kwa moja kwa kutumia softiware na ujanja unaweza onekana
la pili ni hizi proxy adress nadhani na zenyewe zina risk zake. sababu hujui ni Proxy ya nani ya Hacker au la
kupata proxy utayo i trust ni vizuri kutumia proxy ya Public mfano vyuo vingi marekani wanatoa proxy for freee...so watapata faida gani waki ku hack wewe!!
tatu ni vizuri kutumia softwares kuficha ip yako software kama Tor, utrasulf na nyinginezo japo hazina 100% guarantee.
This was for education. nadhani nimepata maarifa ya kutosha. thanx wakuu wote.
>kwa ambao wanasema proxy inagoma nadhani hiyo ni BUG ambayo inaitaji maelekezo. ngoja niwatumie jamaa wa nobodycanstop.us watupe FIX yake.
Cheers!!
Sio kwamba im picking sides, ila I respect kila m2 anaechangia [isipokuwa ukitoa 'DUMB' nitakwambia kama nidumb, sio kwa nia ya kukucheka ila just kukufanya uingie hasirausome]
Hio ya juu irrelevant. Nataka kusema ROSEMARIE umekosea kupick sides na kumponda Ruckus [after all, hez just uncle Ruckus no relation :-D]. Alikuwa anabishana kukusaidia wewe, na wewe ndo unamkandia. He deserves a thank you! kabishana, wakajikamua ikapatikana elimu! kubishana sio kosa. napenda watu wanaobishana kwenye elimu, na miezi tele sijagusa jukwaa jengine kwasababu hii!
Na naombeni msichukulie mabishano yenu personally!
cheers! my ip address is G0E.FYO.URS.ELF :-D!!
sharabaro unatisha,nashukuru sana kwa sababu unajitahidi sana kushare your skill hapa,thank you
kuna kitu nimegundua,nafikiri humu ndani kuna watu wanajali na kufatilia,Uncle Rufus i am very sorry,
lakini sikupenda jinsi ulivyomjibu sharobalo,huyu mtaalam anatusaidia sana,kwa mimi sioni sababu ya kwenda darasani,
hili darasa nalopata hapa linanitosha kabisa,
Inashangaza sana, yaani mnataka kuficha IP address kwa kutumia website nyingine?
Je hao wenye hiyo website (nobodycanstopus), vipi mna waamini...!? Alafu website yenyewe wameipa jina NoBody Can Stop Us. Hamshtuki tu.
watu kama sharobalo ni watu wenye skill ambayo lazima tuiheshimu sana,wana haki ya kuheshemika,
sio wachoyo wa elimu.
Mkuu Papizo, hii dunia ukishangaa sana unaweza kujikuta unapata makengeza bure!Mkuu haya mambo ukiyaelewa ni raha sana, lakini ni vizuri zaidi tukawa na upeo wa hali ya juu, nimeshangaa sana aiseee!
xpaster acha tujifunze,najua unaelewa haya mambo,hata mimi natamani kuyajua
Mkuu Papizo, hii dunia ukishangaa sana unaweza kujikuta unapata makengeza bure!
utachelewa kujua kweli.. maana naona unapitia shortcut! go dig the roots!
Rosemarie, haya mambo unatakiwa ujifunze kwa tahadhali.xpaster acha tujifunze,najua unaelewa haya mambo,hata mimi natamani kuyajua
Kaka binadamu tonatofautiana sana, kuna wenye kuamini chochote kile kwenye mitandao na kuna wale ambao wanapenda kutafiti kwanza.Mkuu nimekuwa shocked kabisa kuona mtu anaamini mara moja kitu ambacho kipo wazi....duu itabidi nisishangae sana haha
Lakini tukubali yote wakuu, Online huwezi kujificha kabisa, kama wakitaka kukufatilia na kukukamata basi unaweza patikana hata kwa nini, labda usitumie internet, ni sawa sawa na utumie website na ujiregister alafu useme kwamba Adminstrator hawezi kuona details zako ulizoweka hiyo kitu ni uongo.....ISP(Internet Service Provider) ni njia moja wapo ya kuweza kufahamu zaidi.
N.B hili swala huko mwanzoni kabisa tulishalijadili kiundani zaidi hapa hapa jukwaani. So unaweza kuhide IP yes hamna mtu mwenye haja ya kukufatilia mpaka ufanye mambo ambayo yapo nje ya sheria then ndio utafahamu kama ni NDIO au HAPANA.
kipo wazi kivipi,eleza kwa in details