Sio kwamba im picking sides, ila I respect kila m2 anaechangia [isipokuwa ukitoa 'DUMB' nitakwambia kama nidumb, sio kwa nia ya kukucheka ila just kukufanya uingie hasirausome]
Hio ya juu irrelevant. Nataka kusema ROSEMARIE umekosea kupick sides na kumponda Ruckus [after all, hez just uncle Ruckus no relation :-D]. Alikuwa anabishana kukusaidia wewe, na wewe ndo unamkandia. He deserves a thank you! kabishana, wakajikamua ikapatikana elimu! kubishana sio kosa. napenda watu wanaobishana kwenye elimu, na miezi tele sijagusa jukwaa jengine kwasababu hii!
Na naombeni msichukulie mabishano yenu personally!
cheers! my ip address is G0E.FYO.URS.ELF :-D!!
RedSilverdog Wewe unaweza kuwa refa mzuri kabisa . But ni rahisi kupick side ukiwa huna knowledge nzuri na kitu so rosmarie amekosea lakini si kosa lake. Ni sababu yeye ni muuliza swali so so naye hana detail zaidi.
Kuhusu mpambano wa wa Rukus na sharobaro kila mtu ana Relevant points ila every one is viewing same thing from different angle.
Hizi ni point chache najumuisha za "mabondia"wote na kuongeza zangu
- Hiding Ip adress dees not make one untracable but it can complicate or make tracing one computer hard
- Hiding Ip adress kutumia free proxies slow network na inawea kuchangua kutumi ka kwa bandwidth zaidi
- Hiding IP adess ina faida mfano unaweza kuona vipindi vya BBC online amabyo wanaona watu wenye IP za uk. So if u want to watch BBC online or some program za kimarekani may be kwa rose pgram kama american top model. eg huwezi kuona hii program kama huna Ip adress ya USA America's Next Top Model Video - Finale | Watch Online Free
- Kuna free proxies za kutumia kuhide ip adreess wataalam wametoe link na firefox inayo Add on kama walivyobainisha
Vile vile Rosmarie kuwa makini na hao walioutumia massage inawezekana ni scammers wa kinigeriao nchi yeyote . If u dont mind ebu iweke hiyo message yao na adress yao waliyokutumia hapa. So knowledege nzuri kwako ya muhimu inaweza isiwe kuhide ip bali kutambua mail za scammers na uwe ana firewall policy nzuri na etc.
NB
Tunazidi kuelimika watu wakitofautiana kwa hoja. constructive criticism sio mbaya lakini inapokuwa personal hapo sasa ndo inakuwa kama tuko kwenye lile jukwaa la wanasiasa. teh teh teh Lets us not make technology subforum kama sisasa .........
Nawasilisha
Ki ukweli mada uliyotoa Rose Imenipa faida kubwa sana, sishabikii upande wowote ktk malumbano yaliyotokea ila Elimu haina mwisho hata kama umli mkubwa Bado unaweza kuelimishwa. Tutoe utaalam wetu pale panapotuhusu au tunapojua na vilevile kuipotezea mada inaruhusiwa jamani. Wataalam mnanifurahisha sana mnapotambaa ktk vithibitisho yaani mtu anabanwa mpaka anataka heshima ya ukubwa duh.kuna kitu nimegundua,nafikiri humu ndani kuna watu wanajali na kufatilia,Uncle Rufus i am very sorry,lakini sikupenda jinsi ulivyomjibu sharobalo,huyu mtaalam anatusaidia sana,kwa mimi sioni sababu ya kwenda darasani,hili darasa nalopata hapa linanitosha kabisa,
mtazamaji umeongea kama baba
Hahahahah Thanks romaie for you compliment.
=====================================================================
Sasa kwa kuendeleza mjadala ulingoni wa kuelimishana ili wataalam wazidi kushusha na kutafuta ukweli nauliza swali . I can google na binafsi najaribu kutafuta jibu ili tuwekene sawa. So tupigane makonde ya hoja sio vioja.
I mean kuna technology gani behind kuzuzia packet zenye header yenye destination ip adress sawa kutambua kuwa packet hiii ni ya juma na hi ni john wakati wote juma na john ip adress zao ni zao ni sawa.?
- Je kama watu wengi au router nyingi au modem nyingi zinaweza kutimia Public IP adress moja kwa nini packet haziwezi kukosea njia balda ya kwenda kwenye IP adress ya 42.x.x.x ya Juma zikaenda kwenye ip adress 42.X.X.X ya John?
Tuendelee
Mkuu Sharobalo.
Nimeingia ktk nobodycanstopus.com na nikaweka website add yangu Mafia Kisiwani na kuclick go ikafunguka,lakini nilipokwenda ktk site ya statcounter.com,ili kufungua account yangu na kuona itaandika nani aliyeitembelea hii site yangu lakini imeleta majibu sawa kwa ip add yangu na imeonesha ya kuwa nimeingia kupitia site ya nobodycanstopus.com yaani hakuna kilichojificha,hapo pamekaaje? au natakakiwa nifanyaje ili niwe invisibo? nitashukuru kwa majibu yako.
Inashangaza sana, yaani mnataka kuficha IP address kwa kutumia website nyingine?huyu sharobalo atakuwa keshalala,hata mimi yamenikuta,naamini hatujipeleki machinjioni ya kuchakachuliwa manake tunatumia nobodyconstopus,
labda kuna watu wanaona password na use name tunazotumia
Hahaha hapana mkuu tupo katika kujifunza,lengo ni kuona je inawezekana ndio maana tukachukua mazoezi ya KUJABIRISHA.Inashangaza sana, yaani mnataka kuficha IP address kwa kutumia website nyingine?
Je hao wenye hiyo website (nobodycanstopus), vipi mna waamini...!? Alafu website yenyewe wameipa jina NoBody Can Stop Us. Hamshtuki tu.
Ndio maana nikasema,Mbuzi yake kamba!!!!kila siku ilikuwa najiuliza maana ya "kuchamba kwingi mwisho hutoka na ma*i" ilikuwa nashangaa kivipi? kumbe ndo hivi?
unaficha ficha, unakuwa hacked na wanaokuficha!:evil:
kila siku ilikuwa najiuliza maana ya "kuchamba kwingi mwisho hutoka na ma*i" ilikuwa nashangaa kivipi? kumbe ndo hivi?
unaficha ficha, unakuwa hacked na wanaokuficha!:evil:
Apart from IP address, kuna Port numbers na Synchronization number.Hahahahah Thanks romaie for you compliment.=====================================================================Sasa kwa kuendeleza mjadala ulingoni wa kuelimishana ili wataalam wazidi kushusha na kutafuta ukweli nauliza swali . I can google na binafsi najaribu kutafuta jibu ili tuwekene sawa. So tupigane makonde ya hoja sio vioja.
I mean kuna technology gani behind kuzuzia packet zenye header yenye destination ip adress sawa kutambua kuwa packet hiii ni ya juma na hi ni john wakati wote juma na john ip adress zao ni zao ni sawa.?Tuendelee
- Je kama watu wengi au router nyingi au modem nyingi zinaweza kutimia Public IP adress moja kwa nini packet haziwezi kukosea njia balda ya kwenda kwenye IP adress ya 42.x.x.x ya Juma zikaenda kwenye ip adress 42.X.X.X ya John?
I mean kuna technology gani behind kuzuzia packet zenye header yenye destination ip adress sawa kutambua kuwa packet hiii ni ya juma na hi ni john wakati wote juma na john ip adress zao ni zao ni sawa.?
- Je kama watu wengi au router nyingi au modem nyingi zinaweza kutimia Public IP adress moja kwa nini packet haziwezi kukosea njia balda ya kwenda kwenye IP adress ya 42.x.x.x ya Juma zikaenda kwenye ip adress 42.X.X.X ya John?
Tuendelee
Hii thread imeifanya siku yangu iimalizike vizuri sana, nalala nikicheka sana,
Rosemarie Ubarikiwe sana kwa kuanzisha hii thread...
Mkuu,Sharobalo usijenge chuki nami nadhani kuna ulichojifunza toka kwangu,nami vile vile....