how to hide my ip address?


Sioni kipya hapa mkuu, kwa kukusaidia tu angalia vizuri kwenye post za ili jukwaa tumejadili sana hivi vitu..
 

rukus sijui kama unaelewa maana ya ip addrs na inatumikaje,nafikiri umekurupuka
 


sharabaro unatisha,nashukuru sana kwa sababu unajitahidi sana kushare your skill hapa,thank you
 

mkuu sikubaliani na wewe hata chembe,nafikiri una matatizo yanakusumbua some howe
 
Wakuu, wala msibishane bure, hii kitu ya kuficha IP address, inawezekana kuificha na watu wa kawaida wasiweze kuiona, lakini wataalam wa mambo ya IT wakitaka kujua IP address yako wanaweza kukupata na haswa kama unajihusisha na mambo ya Hacking au kupakuwa ponografu zinazo wahusisha watoto chini ya miaka kumi na nane.

Ni sawa sawa na kuficha SSID yako au wireless unayotumia isionekane, lakini still kuna program za kuweza kuzionyesha hizo hidden SSID.

Kiufupi ili Computer yako hiwe salama, basi usijiunge na Internet kabisa, lakini ukiiunganisha na internet ni sawa na kuwa na jumba lililojengwa kwa kutumia vioo vya tinted window, ukiwasha taa tu wanakuona au mwenye kusogea karibu na kuchungulia basi ataona kila kitu ndani.

Hizo program zinazouzwa ni za kukufanya mtumiaji uwe na amani tu katika moyo na kuwapa ugumu kidogo hackerz, lakini si kuwa huwezi kuonekana kabisa.
 
Loh!!! HAHAHAHA.......Haya sasa Rosemarie bora umekuja. Angalia lipi linakusaidia hapa...maana wazee wa zamani wanasema vijana hatujui kitu. Thanx a lot nilidhani hauta rudi. u made my day
 


thats not right,naomba usiwe kama magazeti yetu yanayotoa story halafu hayataji wahusika
hii ni tabia mbaya ambayo nafikiri tumeichoka sana
 
Kuna jamaa yangu nilisoma nae CBE anafanya kazi barclays bank alikuwa nayo software nzuri sana lakini nimeisahau jina akinikumbusha nitakupatia jina.
 
Loh!!! HAHAHAHA.......Haya sasa Rosemarie bora umekuja. Angalia lipi linakusaidia hapa...maana wazee wa zamani wanasema vijana hatujui kitu. Thanx a lot nilidhani hauta rudi. u made my day

nitajuaje kama ip yangu imefichwa?
 
Ni rahisi sana.

yaani kila ukitaka kufungua mtandao ambao hutaki mtu ajue IP yako. fungua ndani ya www.nobodycanstop.us maana yake utaonekana haupo tz ila upo nchi nyingine fake ip

kujaribu hili
fungua What is my IP address utaona inaonyesha nchi na detail zote za kwako,

halafu fungua hiyo hiyo link ndani ya nobodycanstop.us utaona inaonyesha kuwa hakuna detail zozote....so that means kila ukifungua link ndani ya nobodycanstop.us detail zako hazitaonekana daima. na ip utayotumia ni ya proxy .

i hope it helps to explain it

nitajuaje kama ip yangu imefichwa?
 

Nataka kujaribu, ina maana YouTube naweza kutumia bila hata kulipa???
 

this is a very very useful thread to me and others. thanks a lot Mkuu
 
Hapana mkuu..kulipia utalipia ila ni kwamba IP yako ihaionekani.

kuhusu YOUTUBE ni kwamba kama ipo blocked hata facebook kama ipo blocked ofisini,shule chuo au popote na ukifungua haifunguki. basi ukifungua kwa kutumia proxy itafunguka moja kwa moja sababu utakuwa unatumia IP ya mtu mwingine nje ya nchi na sio ilipofungwa kama tz!!
Nataka kujaribu, ina maana YouTube naweza kutumia bila hata kulipa???
 
rukus sijui kama unaelewa maana ya ip addrs na inatumikaje,nafikiri umekurupuka

Sio kwamba im picking sides, ila I respect kila m2 anaechangia [isipokuwa ukitoa 'DUMB' nitakwambia kama nidumb, sio kwa nia ya kukucheka ila just kukufanya uingie hasirausome]

Hio ya juu irrelevant. Nataka kusema ROSEMARIE umekosea kupick sides na kumponda Ruckus [after all, hez just uncle Ruckus no relation :-D]. Alikuwa anabishana kukusaidia wewe, na wewe ndo unamkandia. He deserves a thank you! kabishana, wakajikamua ikapatikana elimu! kubishana sio kosa. napenda watu wanaobishana kwenye elimu, na miezi tele sijagusa jukwaa jengine kwasababu hii!

Na naombeni msichukulie mabishano yenu personally!

cheers! my ip address is G0E.FYO.URS.ELF :-D!!
 


kuna kitu nimegundua,nafikiri humu ndani kuna watu wanajali na kufatilia,Uncle Rufus i am very sorry,
lakini sikupenda jinsi ulivyomjibu sharobalo,huyu mtaalam anatusaidia sana,kwa mimi sioni sababu ya kwenda darasani,
hili darasa nalopata hapa linanitosha kabisa,
 
mh! nadhani ROSEMARIE yupo sahihi aliona Ufinyu fulani...
ila kama ulivyosema Silverdog..tupo hapa kujifunza.
na usianze kuponda maelezo ya mtu bila kuwa na evidence za kutosha, l
ets be pro...hata kama una midevu una miaka mia 200. kinacho matter ni uwezo wako wa kuelewa.
so vitisho vya miaka au kumwambia mtu wewe mtaalamu wa kugogo mara hujui...
thats bullshit hazina msaada.
nakujifanya unamjua mtu thats wrong...
if you got issues ni bora umprivate mtu. tusiwe watu wazima ovyo!!
 
rukus sijui kama unaelewa maana ya ip addrs na inatumikaje,nafikiri umekurupuka

Ubarikiwe...

mkuu sikubaliani na wewe hata chembe,nafikiri una matatizo yanakusumbua some howe
Sija kulazimisha ukubaliane na mimi...

Ahsante mkuu, kwa kuwaelewesha.... Nadhani mwenye kuelewa ataelewa nilichokua na kisimamia.
thats not right,naomba usiwe kama magazeti yetu yanayotoa story halafu hayataji wahusika
hii ni tabia mbaya ambayo nafikiri tumeichoka sana
Usijali ndugu ujanikoseha popote jisikie amani moyoni.
Una maono ya mbali sana mpwa!


:music:
 
You dont have a public ip address.you are using an ip address of your isp provider why do you want to hide your ass for?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…