Mkunde Original
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 807
- 647
Jaribu hakikisha mihogo unayonunua ni mizuri ukumbuke Enzi za Judy Boucher hahahahah lol! Mie nilikuwa na mob yangu ya watu 10 tunashuka pale mnazi mmoja karibu na hospital pembeni kuna jamaa alikuwa na kanga mihogo mitamu sana basi tukifika tunamwambia usimuuzie mtu mwingine waambie mihogo yote imenunuliwa na sisi hahahahah lol! tunakula kwa raha zetu mpaka tunatosheka na jamaa alikuwa akittuona tu anafurahia sana maana anajua tulikuwa tunampa biashara nzuri. Haya kila la heri katika kutengeneza mihogo yako week end hii itoke bomba ila angalia usinogewe tu 🙂🙂
By Ablessedweek end hii nitajaribu kuiandaa ama kweli mambo ya zamani yalikua poa sana. Watu mnajazana kwa kumuuza mihogo a.k.a chipsi dume , viazi havikua popular na walaji wake walikua wachache sana . Nakumbuka pale kibasila secondary nje ya michongoma karibu na hosteli kuna muuza chipsi dume alikuwepo pale.
morning shemeji! mzima?
Mihogo chakula bwana . Hakuna lugha ya staha hapo ni hii mihogo ya kawaida mkuu.Mmmmhh mnaongelea mihogo chakulaaa au mihogo poriii?? maana inavokaziwa na hizo chachandu..!!! sijui ni chachandu sosi au chachandu................ nimejiuliza tuu si kama nimeingilia maongezi yenu ila naona mmekazia sana mihogo looh:smile::smile:
Aaah kuna provider flani nilimbamba so internent yangu ni unlimited. Huko nyuma ilikuaga maumivu kuna provider flani ni nyonya damu kinoma yaani ilikua ukiletewa bill pressure inapanda. Nimejaribu kuangalia hii movie lkn sijaelewa I think i'm missing something somewhere manake naona kama trela tu , halafu ni 15 minutes.@Ablessed hiyo link aliyokupa pacha wako ni bomba unaangalia bila tatizo lolote lile ila kilichoniudhi ni kwamba kila baada ya dakika 13 nadhani mpaka 15 inabidi uclick kwenye namba inayofuata (1,2,3.....) ili kuweza kuendelea na movie yako tena unaona latest movies. Also it is very important to have unlimited internet usage, vinginevyo unaweza kuletewa bill itabidi ujifiche....kwa Kiswahili cha MUJINI wanasema itakula kwako.
Aaah kuna provider flani nilimbamba so internent yangu ni unlimited. Huko nyuma ilikuaga maumivu kuna provider flani ni nyonya damu kinoma yaani ilikua ukiletewa bill pressure inapanda. Nimejaribu kuangalia hii movie lkn sijaelewa I think i'm missing something somewhere manake naona kama trela tu , halafu ni 15 minutes.
Nashukuru ngoja nitazame nipatapo wasaa. Si unajua tena mashikolo mageniMkuu Ablessed kuna namba hapo kuanzia moja mpaka mpaka nane kama sikosei kila 15 mins zinapokatika click mamba ifuatayo ili uendelee na movie mpaka umalize namba zote nane. Kila la heri.
lol hizo mbilimbi itabidi nizipandie ndege....Huna kopo la mate weye!!! hahahahah lol!!!! Nenda sokoni banaaaa huwezi kukosa.