How to download music from the web

How to download music from the web

the kapex

Member
Joined
Feb 4, 2011
Posts
35
Reaction score
2
Jamani wadau naombeni mnisasidie nijue namna ya kudownload miziki kutoka kwenye web mimi ni mpenzi wa miziki lakini sijjui nifanyeje , msaada wadau na wapenzi wa muziiki
 
mwenye link ambapo naweza pata album za angelique kidjo naomba anisaidie tafadhali {Samahani tk ila natumaini tutanufaika wote}
 
Sasa nenda kwenye google search engine, andika wapdam.com, halafu itakuletea wapdam.com fungua utapata nyimbo za kila aina hata bongo fleva ya zamani, naamini ni rahisi sana.
 
Back
Top Bottom