How to disable last seen on whatsup

How to disable last seen on whatsup

autorun255

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
1,105
Reaction score
364
Najua wengi wamekuwa wakilalamika wanapotumia whatsup kwa vile hutunza muda ambao uko online au last seen.

Je unataka kutoa last seen kwnye whats up ....
Usitokwe na jasho ni rahisi sana

Ingia kwenye settings> accounts> privacy> last seen
Hapo utachagua yupi aone muda wa mwisho kutumia whats up.

Ijaribu.
 
Mbona sasa ni general? coz kuna option tatu everyone, contact au nobody! Mi nataka ya mtu mmoja mmoja!
 
Option zilizopo kwa sasa ni hizo tatu
Ila ukiachagua hio ya nobody itafaa .
 
kwani last seen ina tatizo gani?

last seen ina disadvantage kwenye mambo flani flani
1. sana kwenye uhusiano wa kimapenzi embu chukulia mpenzi wako mnachati nae usiku halafu anakwambia mi nalala mnakubaliana powa, lkn asbh kuangalia unaona last seen yake ilikua usiku wa manane we utajickiaje

2.mfano nimekutumia msg hujanijibu baadae nakuja kukuona last seen yako ulikua hewan muda flani bt hujanijibu msg we utajisikiaje
 
Umemjibu vizuri.
 
Hatua ni hizo haijalishi aina ya simu

Ingia whatsup
Chagua settings>>accounts>>privacy>> last seen

Kuna option 3 chagua inayokufaa.

whatsapp in lumia phones sucks.. Iyo option haipo mkuu
 
Mkuu Asante, umenisadia sana, hii kitu ilikuwa inanisumbua sana

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Option zipi zilizopo??
Umewza kufika hadi kweny privacy??
kaka ulishawah kutumia lumia phone yeyote? haipo iyo option ya privacy,ukiingia settings unakuta wamekuwekea text size, lock screen,screen rotation, block contacts na back up.. ukiswitch kwene account kuna connection state na account expiration.. hakuna option yeyote ya privacy
 
Mkuu wewe unakosea,unaenda kwenye setting ya sim,fungua watsup,kisha kwenye watsup kuna setting yake,mfano kubadili picha,kuweka status au kuibadili,notification nk. Ukishuka chini utakutana na privacy,hapo ndio utakutana na last seen. Wewe unaenda kwenye setting ya sim,sio huko mkuu.
 
kaka ulishawah kutumia lumia phone yeyote? haipo iyo option ya privacy,ukiingia settings unakuta wamekuwekea text size, lock screen,screen rotation, block contacts na back up.. ukiswitch kwene account kuna connection state na account expiration.. hakuna option yeyote ya privacy

Setting nnayozungumzia mie ni ya kwny whats up...
Open up whatsup na sio settings za simu.
Hope u read me
 
Kuna mijitu iko very fussy. Yeye hana kazi, akikuona online tu anataka kuanza kuchat. Wakati wewe labda unaangalia tu cha maana ndp ujibu kwa sababu umetingwa. Mwisho anaanza shutuma!

Back
Top Bottom