How to disable last seen on whatsup

How to disable last seen on whatsup

Download whatsapp+ .. nirahisi kutumia and more customizable inayo option ya kuchagua hiyo last seen.
 
Sample pic hiyo ..
 
Attachments

  • 1398613030743.jpg
    1398613030743.jpg
    55.5 KB · Views: 123
Kuna mijitu iko very fussy. Yeye hana kazi, akikuona online tu anataka kuanza kuchat. Wakati wewe labda unaangalia tu cha maana ndp ujibu kwa sababu umetingwa. Mwisho anaanza shutuma!

Nilishakukataza sio mijitu ni watu
 
Follow these steps .. 1st create message backup .. 2nd uninstall hiyo whatsaap ya mwanzo .. 3rd install hyo whatsapp+ ... bingo !! U can do whatever change theme .. block some people on the last seen thing and much more...
 
Thx thx...hii haiishi muda?kuna moja nilidownload nikaitumia two weeks naambiwa niiupdate nikaupdate nikawa directed kwenye official whatsapp
 
Kwa hilo sifahamu . . As long as unayotumia now ipo unlimited then it will carry on as usual
 
Follow these steps .. 1st create message backup .. 2nd uninstall hiyo whatsaap ya mwanzo .. 3rd install hyo whatsapp+ ... bingo !! U can do whatever change theme .. block some people on the last seen thing and much more...

thank u
 
Tatizo ukichagua Nobody hadi wewe mwenyewe unakuwa huoni "Last seen za contacts wako" kwa kifupi unakuwa umejiblock na wewe! Go ahead kama upo tayari

kweli, hata mi sioni last seen za contacts zang baada ya kuopt ' nobody'!!
 
Back
Top Bottom