autorun255
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,105
- 364
- Thread starter
- #41
Tatizo ukichagua Nobody hadi wewe mwenyewe unakuwa huoni "Last seen za contacts wako" kwa kifupi unakuwa umejiblock na wewe! Go ahead kama upo tayari
Nakubaliana na ww
Uamuzi ni wake yeye anaetaka asionekane last seen kwa wengine.
Haiblock txt, video, music, photoz kusend. Inapiga kazi kama kawa.