Chief objectives sio issue ..issue ni statement of problem + the whole part ya methodology yaan kuanzia research design na ukipata chuo kma Udsm hasa ndaki ya sayanci jamii kitivo cha geography jamaa wanakulima mchana kweupemkuu nafikiri ukiweza tengeneza three specific objectives, zikaeleweka na wakakuelewa maswali hayawezi kukuchomoa.
ndyo nakubaliana na weweChief objectives sio issue ..issue ni statement of problem + the whole part ya methodology yaan kuanzia research design na ukipata chuo kma Udsm hasa ndaki ya sayanci jamii kitivo cha geography jamaa wanakulima mchana kweupe
😃😃😃 Umeona eh na ww umepita ud nnndyo nakubaliana na wewe