How to by pass icloud activation in Iphone 4s

TEAMZAX

Member
Joined
Mar 25, 2013
Posts
22
Reaction score
3
Jamani ni kweli haiwezekekani ku bypass hiyo kitu
mwenye ujuzi uzi huo twende sawa
 
Attachments

  • IMG_20140812_214824.jpg
    IMG_20140812_214824.jpg
    260.7 KB · Views: 315
Inawezekana lakini sio kibongo bongo by using iCloud Removal Service
 
Hiyo kitu mpaka ukalipie kwa iphoneofficial unlocker mi nilipia £60

Officialiphoneunlock hawatoi Activation Lock (iCloud Lock), wanatoa Carrier Lock (Sim Lock). Soma vizuri kinachoongelewa hapa. Hakuna njia ya kuBypass iCloud Lock 100%..
 
Hiyo screen shot ni proof maana nimefanya hiyo kitu sio kwamba sijui kinachoongelewa hiyo nilipewa punguzo la 50% maana huyo ndo alii unlock pia
 
Attachments

  • 1408016606917.jpg
    1408016606917.jpg
    71.7 KB · Views: 242
Hiyo screen shot ni proof maana nimefanya hiyo kitu sio kwamba sijui kinachoongelewa hiyo nilipewa punguzo la 50% maana huyo ndo alii unlock pia
Mkuu iphone gani na ilikua inakupa massage gani ukiiwasha
 
Officialiphoneunlock hawatoi Activation Lock (iCloud Lock), wanatoa Carrier Lock (Sim Lock). Soma vizuri kinachoongelewa hapa. Hakuna njia ya kuBypass iCloud Lock 100%..

Tofauti na hiyo website, ila kuna jamaa anatoa icloud lock hapa hapa Bongo tuko naye kwenye group la biashata telegram na amewatolea wengi japo bei yake mkasi na feedback ni +.
 
Nunua TECHNO achana na Iphone zitakusumbua!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tofauti na hiyo website, ila kuna jamaa anatoa icloud lock hapa hapa Bongo tuko naye kwenye group la biashata telegram na amewatolea wengi japo bei yake mkasi na feedback ni +.

sasa kama bei ni mkasi huoni ni dalali huyo? kwamba anakutoza hela nyingi anaenda kulipia gharama ya ku unlock kinachobakia na yeye anapata riziki.
 
Yan nililomaanisha ni kwamba kutokana na huyo jamaa basi nimeamini kuwa i cloud lock inawezekana kutolewa hata awe dalali my point ni kuwa kumbe inawezekana kutolewa.
Hata mimi ninajua kuwa atakuwa dalali kwasababu anakwambia ukimpa simu uifuate baada ya siku saba.
 
na unatumia iPhone duuu..

Hahahaa isikutishe bhanaa ila haikuwa ya kuzibua ndio maana nasema iliyo kwisha wekwa ID mwanzo isiyo julikana ni balaa kuja kuifanyia mchepuko

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Na huyo umwachieeee tuuu iphone yako siku saba yani akae na jwe lako siku labda kama iyo iphone ulipewa na mjomba maana duuuu
 
Hiyo screen shot ni proof maana nimefanya hiyo kitu sio kwamba sijui kinachoongelewa hiyo nilipewa punguzo la 50% maana huyo ndo alii unlock pia

unasema wao ndiyo walitoa carrier lock? na ukaanza kuitumia fresh vipi ililock icloud tena?!
 
Hio ipo katika lost mode so hapo ni mziki mnene,hio email wewe unaijua?kama imekwapuliwa sehemu na mwenyewe ameiweka katika lost mode ujue kazi unayo.
 
Hiyo sio lost mode hiyo ni Find My Phone Mode saa nyingine huwa inajiactivate automatically unaposign in icloud saa nyingine pasipo owner kujua sasa basi km hiyo sim inakuletea message ya contact za owner km no ya sim n.k basi hapo itakuwa ktk lost mode na ipo ktk black list hiyo kuiunlock bei yake kubwa if not that bei yake kawaida ni £60 na inakuwa km mpya haiwezi kujilock tena maana acc zote unaanzisha za kwako
 
Hiyo sio lost mode hiyo ni Find My Phone Mode saa nyingine huwa inajiactivate automatically unaposign in icloud saa nyingine pasipo owner kujua sasa basi km hiyo sim inakuletea message ya contact za owner km no ya sim n.k basi hapo itakuwa ktk lost mode na ipo ktk black list hiyo kuiunlock bei yake kubwa if not that bei yake kawaida ni £60 na inakuwa km mpya haiwezi kujilock tena maana acc zote unaanzisha za kwako
unasema wao ndiyo walitoa carrier lock? na ukaanza kuitumia fresh vipi ililock icloud tena?!
mi nina wasi wasi na hawa official iphone unlock kwasababu zifuatazo. Kununua Carrier Unlock wanaruhusu kulipia kupitia PayPal ambayo ni safe na inampa insurance mlipaji. Lakini kuBypass iCloud Activation Lock wanataka ulipie direct kwa Credit Card/Debit Card. Hii italeta shida kupata pesa zako kama wasipofanya Unlock..niliwatumia email kuwauliza kwanini wasi Associate malipo ya hii huduma na PayPal wakasema wanafanya hivyo directly ili kurahisisha payment na pia kuhakikisha wanapata pesa yao moja kwa moja. Labda mkuu dkashombo2013 utusaidie kutuonyesha ile confirmation email ya kuonyesha kuwa wameshatoa iCloud Lock..

33af0py.jpg

mlu1e.jpg
 
Back
Top Bottom