How to by pass icloud activation in Iphone 4s

mi nina wasi wasi na hawa official iphone unlock kwasababu zifuatazo. Kununua Carrier Unlock wanaruhusu kulipia kupitia PayPal ambayo ni safe na inampa insurance mlipaji. Lakini kuBypass iCloud Activation Lock wanataka ulipie direct kwa Credit Card/Debit Card. Hii italeta shida kupata pesa zako kama wasipofanya Unlock..niliwatumia email kuwauliza kwanini wasi Associate malipo ya hii huduma na PayPal wakasema wanafanya hivyo directly ili kurahisisha payment na pia kuhakikisha wanapata pesa yao moja kwa moja. Labda mkuu dkashombo2013 utusaidie kutuonyesha ile confirmation email ya kuonyesha kuwa wameshatoa iCloud Lock..

33af0py.jpg

mlu1e.jpg

mtu akishawasha find my iphone kwenye simu, akaja kureport lost kuiactivate bado sijaskia mtu anayeweza kufanya hivyo, hata wakorofi wa russia bado wanatoa macho tu! sijui lakini,ndiyo maana nikamuuliza jamaa ilikuwaje ameshaunlock carrier halafu anataka kuunlock icloud, inamaana aliaunlock carrier ikiwa locked icloud au?
 
mi nina wasi wasi na hawa official iphone unlock kwasababu zifuatazo. Kununua Carrier Unlock wanaruhusu kulipia kupitia PayPal ambayo ni safe na inampa insurance mlipaji. Lakini kuBypass iCloud Activation Lock wanataka ulipie direct kwa Credit Card/Debit Card. Hii italeta shida kupata pesa zako kama wasipofanya Unlock..niliwatumia email kuwauliza kwanini wasi Associate malipo ya hii huduma na PayPal wakasema wanafanya hivyo directly ili kurahisisha payment na pia kuhakikisha wanapata pesa yao moja kwa moja. Labda mkuu dkashombo2013 utusaidie kutuonyesha ile confirmation email ya kuonyesha kuwa wameshatoa iCloud Lock..

33af0py.jpg

mlu1e.jpg

Umenena jambo jema maana anaweza sababisha watu wakaibiwa humu.
 
ndiyo naijua
Mkuu kama unaweza kuwasiliana na dkashombo2013 akusaidie kuitoa maana inavyonekana yeye aliweza kutoa iCloud Lock,,ikiwezekana tafadhali tuletee feedback humu kwasababu tupo wengi wenye shida kama yako,,
 
mi nina wasi wasi na hawa official iphone unlock kwasababu zifuatazo. Kununua Carrier Unlock wanaruhusu kulipia kupitia PayPal ambayo ni safe na inampa insurance mlipaji. Lakini kuBypass iCloud Activation Lock wanataka ulipie direct kwa Credit Card/Debit Card. Hii italeta shida kupata pesa zako kama wasipofanya Unlock..niliwatumia email kuwauliza kwanini wasi Associate malipo ya hii huduma na PayPal wakasema wanafanya hivyo directly ili kurahisisha payment na pia kuhakikisha wanapata pesa yao moja kwa moja. Labda mkuu dkashombo2013 utusaidie kutuonyesha ile confirmation email ya kuonyesha kuwa wameshatoa iCloud Lock..

33af0py.jpg

mlu1e.jpg

Hii ya kwangu bado hawajatoa nilipewa 5-10 working days ambazo zinaisha j5 next week, kuhusu malipo sio kwamba unawalipa direct kuna kampuni inayosimamia malipo inaitwa dalpay ya uk hii ni km paypal ni nzuri tu usipopata huduma hawa ndo watakurefund pesa yako sijui nimeeleweka
 
Hiyo ndo order status yangu
 
Attachments

  • 1408693916702.jpg
    1408693916702.jpg
    55.7 KB · Views: 99
Hii ya kwangu bado hawajatoa nilipewa 5-10 working days ambazo zinaisha j5 next week, kuhusu malipo sio kwamba unawalipa direct kuna kampuni inayosimamia malipo inaitwa dalpay ya uk hii ni km paypal ni nzuri tu usipopata huduma hawa ndo watakurefund pesa yako sijui nimeeleweka
Hapo sasa nimekupata mkuu, tusubiri mpaka hiyo J5 tupate feedback, ukifanikiwa utakuwa umetusaidia sana na sisi wengine,,
 
Hiyo ndo order status yangu
Mkuu nahisi kama umepigwa hivi
Ninazo kama iphone 6 hivi za watu zinahitaji hii kitu, pamoja na kugoogle sana inaonekana kama scammer ndio wengi kuliko halisia wanaoweza kuitoa
Binafsi naamini bado suluhu haijapatikana hao jamaa watakuletea sound tu
Lets wait and see

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
BTW wamekwambia wataiunlock remotely au watakutumia details za email husika au umewatumia simu wakaitoe wenyewe?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu nahisi kama umepigwa hivi
Ninazo kama iphone 6 hivi za watu zinahitaji hii kitu, pamoja na kugoogle sana inaonekana kama scammer ndio wengi kuliko halisia wanaoweza kuitoa
Binafsi naamini bado suluhu haijapatikana hao jamaa watakuletea sound tu
Lets wait and see

Sent from my iPhone using JamiiForums

Nilikuwa sijawapa feedback nimeletewa email kuwa my iphone is blacklisted so it needs another way of unlocking and i have to add amount of around 10£ na nimeplace order for that hela yangu walinipa option 2 kutoa another imei to be unlocked au kuadd kwa hii iliiwe unlocked order yangu tiyari accepted i have to wait for 5-15 working days, so let's wait and see
 
In addition to that nimepewa free link to check if ur iphone is clean or black listed nayo ni cleancheck.me mtu unaweza anagalia ya kwako ina status gani
 
Nilikuwa sijawapa feedback nimeletewa email kuwa my iphone is blacklisted so it needs another way of unlocking and i have to add amount of around 10£ na nimeplace order for that hela yangu walinipa option 2 kutoa another imei to be unlocked au kuadd kwa hii iliiwe unlocked order yangu tiyari accepted i have to wait for 5-15 working days, so let's wait and see
Mkuu kwa mujibu wa utafiti wangu google asilimia kubwa ya wanaolalamika kuibiwa na hawa scammer huanza kwa kuambiwa simu yako imerepotiwa imeibiwa na imekua black listed so ongeza hela

Natamani sana kujua ukweli wa hili maana kunajamaa wajifanya wao ndio wamegundua hii kitu na wanachaji more than 100usd,hawa wako naona kama wapo cheap sana

Ambacho sijaelewa ni kwamba wamesema wataitoa lock kivipi?
Remotely?
Details za prev owner?
Au unawatia?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hiyo ndo order status yangu

Sasa mkuu kama ulilipia hiyo huduma alhamisi ya tarehe 7 na ukaambiwa inafanyiwa processing ndani ya 10 business days huoni kwamba leo ndio siku ya kumi? Hapo umeshalizwa mkuu, angalia vizuri Order Status yako na Delivery Time kwa chini. Mimi huwa naUnlock sana online na kwa hawa official nilishafahamu toka zamani kuwa ni Scammers. Pole sana
 
Hiyo order ilikuwa tar 7 lkn mimi mwenyewe nilichelewa kulipia walianza kuhesabu siku nolipolipia kuhusu kuibiwa sijui km ni kweli maana hawahawa ndo walii unlock kwa bei ya £100 so km wangetaka kuiba wasingeiba hii hela ndogo ya kuondoa icloud wangedai hela nyingi so nilichoamua ni kuongeza hiyo £10 ilinione mwisho na tupate sln, kuhusu jinsi wanavyo unlock ikisha kuwa tayari wanakutumia email in iconnect ktk itune then inakuwa unlocked remotely
 
naomba niulize.hivi nikinunua iphone 5c online ambako ni cheap tena kwenye site yao wenyewe kwa kutumia courier wa at&t ambao wanatumia sim card which means simu itakuwa na slot ya line, je naweza kuja nayo bongo then kwa kupitia hiyo website ya kuunlock iphone nikaitumia kuiunlock ili itumie local isp na mitandao ya kawaida.. naomba ushauri na mawazo yenu.. @ dkashombo2013 Mnandi Brakelyn TEAMZAX CYBERTEQ Mwl.RCT C6 na njunwa wamavoko
 
Hii ya kwangu bado hawajatoa nilipewa 5-10 working days ambazo zinaisha j5 next week, kuhusu malipo sio kwamba unawalipa direct kuna kampuni inayosimamia malipo inaitwa dalpay ya uk hii ni km paypal ni nzuri tu usipopata huduma hawa ndo watakurefund pesa yako sijui nimeeleweka
Ok hamna shida nitaleta tu feedback
Nilikuwa sijawapa feedback nimeletewa email kuwa my iphone is blacklisted so it needs another way of unlocking and i have to add amount of around 10£ na nimeplace order for that hela yangu walinipa option 2 kutoa another imei to be unlocked au kuadd kwa hii iliiwe unlocked order yangu tiyari accepted i have to wait for 5-15 working days, so let's wait and see
Mkuu kesho J5 ndio siku uliyotuahidi kutupa confirmation ya kuondoa iCloud Lock. Utatujulisha kitakachotokea ili kama utafanikiwa na sisi wengine tufanye malipo tuUnlock iPhone zetu...
 
Wadau nina iphone 4s, carrier locked, nimelipia kuangalia ipo locked na carrier yupi na kupata majibu haya:

Network Code Status:
MODEL: IPHONE 4S 64GB WHITE
IMEI: 0**********0 (nimefuta imei hapa)
SERIAL: C******T*V
FIND MY iPHONE: OFF
HW WARRANTY: Out of Warranty (0 days)
PHONE SUPPORT: No phone support (0 days)
PURCHASE DATE: 2011-11-18
PRODUCT SOLD BY: SOFTBANK MOBILE CORP
INITIAL CARRIER: JAPAN SOFTBANK
PURCHASE COUNTRY: JAPAN

Sasa nataka ku-unlock, kwa aliyewahi fanya factory unlock ni wapi nitapata legitimate unlock service(online) maana online scammers kibao, msaada kwa anayejua tafadhali.
 
Inatumia ios gani mkuu?
 
Mkuu kesho J5 ndio siku uliyotuahidi kutupa confirmation ya kuondoa iCloud Lock. Utatujulisha kitakachotokea ili kama utafanikiwa na sisi wengine tufanye malipo tuUnlock iPhone zetu...

Nasubiri kwa hamu sana hii feedback
 
Back
Top Bottom