How to by pass icloud activation in Iphone 4s

Unayo apple id na password ya hiyo phone?

During unlocking process nahisi itafikia hatua unatatakiwa kuingiza hizo details

Apple id na pass ya hii simu sina, ila wale jamaa waliocheck locked carrier imeonyesha "Find my phone ipo OFF, ingekuwa ON ndo id na password za original owner zingehitajika kabla ya kufanya kitu chochote, kwasababu ikiwa turned on, activation lock is automatically enabled. sijui umenisoma.
 
Nimekusoma mkuu
Ukienda Settings then Icloud unakutana na nini?
Jaribu kutafiti hapo kidogo ujiridhishe mkuu

Ni jamaa gani wamecheck ili nijaribu kucheck na yangu nione matokeo
 
Sijajua ni Kama unataka kuown account yako binafsi ya iCloud
Kama ni hivyo kwangu katika iphone4 nilienda setting then reset kila kitu then unaanza Kama iphone Mpya kila kitu kinaondoka af unaregister account Mpya unatumia kudownload Kama kawa
 
Nimekusoma mkuu
Ukienda Settings then Icloud unakutana na nini?
Jaribu kutafiti hapo kidogo ujiridhishe mkuu

Ni jamaa gani wamecheck ili nijaribu kucheck na yangu nione matokeo

we unatumia iphone gani mr? maana mi nilishapataga shida sana na na iphone 4 nikaamua kuuzia mafundi
 
Kinacho nitatiza mimi ni je hawa jamaa wanawezaje kuingia kwenye server za apple na kujua kama ume activate hiyo makitu?
Just curious.....no offence
 
we unatumia iphone gani mr? maana mi nilishapataga shida sana na na iphone 4 nikaamua kuuzia mafundi

Iphone 5s
Nililetewa fresh kabisaa

Tatizo la iphone za ios kuanzia 7 ni icloud lock na sio carrier lock

Kama ulinunua inatumia ios chini ya 7 na ukiiupgrade tu kwenda ios 7 kama jamaa aliekua nayo hajafuta details zake basi ujue imekula kwako maana utakutana na icloud lock
 
Nimekusoma mkuu
Ukienda Settings then Icloud unakutana na nini?
Jaribu kutafiti hapo kidogo ujiridhishe mkuu

Ni jamaa gani wamecheck ili nijaribu kucheck na yangu nione matokeo

Mkuu hii iphone inaonekana walii reset kwa hiyo inaanzia mwanzo kabisa kuchagua language, country, una select wifi ili kufanya registration inakuja message "invalid sim card" hapo ndipo ninaishia, ila locked carrier nimeshafahamu ninachotaka ni uhakika au nipate source ya kuaminika nimalize hii kazi ya ku-unlock.

Nilicheck kwa hawa jamaa nao pia wana-unlock.
 
Mkuu kama mmiliki wa awali ali wipe details zake its ok, go ahead
Bahati mbaya sina uzoefu na hizo carrier unlock
Hope utafanikiwa
 
Iphone 5s
Nililetewa fresh kabisaa

Tatizo la iphone za ios kuanzia 7 ni icloud lock na sio carrier lock

Kama ulinunua inatumia ios chini ya 7 na ukiiupgrade tu kwenda ios 7 kama jamaa aliekua nayo hajafuta details zake basi ujue imekula kwako maana utakutana na icloud lock

Sure ile ngoma baada ya ku-upgrade tu mlolongo ukaanza, icloud lock ilileta noma,
Na hiyo carrier lock nilimchekia ndugu yangu alikuwa ameuziwa akajua ame win, kuja kukata line na kuweka, line haisomi ilibidi arudishe baada ya kucheck kwa hawa letsunlockiphone5.com, ilikuwa imelokiwa australia huko.
 
ImageUploadedByJamiiForums1409756867.709917.jpg
Reset all settings
Ingiza wanachouliza upya
Create Apple ID yako binafsi
Anzisha iphone yako
Furahia apple😎
 
View attachment 182543
Reset all settings
Ingiza wanachouliza upya
Create Apple ID yako binafsi
Anzisha iphone yako
Furahia apple😎

Mkuu hii ni kama unatumia simu na haina shida
Vinginevyo huko hifiki kabisaaaa
Yaani kama ni icloud lock ukiwasha tu unakutana na muziki wa kuingiza apple id na passcode
Na kama carrier lock ukiwasha tu hatua mbili tatu kitu Ina stop haitambui sim card
 
Sure ile ngoma baada ya ku-upgrade tu mlolongo ukaanza, icloud lock ilileta noma,
Na hiyo carrier lock nilimchekia ndugu yangu alikuwa ameuziwa akajua ame win, kuja kukata line na kuweka, line haisomi ilibidi arudishe baada ya kucheck kwa hawa letsunlockiphone5.com, ilikuwa imelokiwa australia huko.
Ogopa kununua iphone 4 na 4s zenye ios chini ya ios 7, maana wakati wa ios 6 kwenda chini hata mtu asipofuta details zake utaitumia kama kwaida
Wakati unanunua itapiga mZigo fresh kabisa, balaa uki upgrade tu
 
Nasubiri kwa hamu sana hii feedback
ni kweli Paul, tusubiri tu nafkiri leo ataweza kutupa jibu..
Hiyo order ilikuwa tar 7 lkn mimi mwenyewe nilichelewa kulipia walianza kuhesabu siku nolipolipia kuhusu kuibiwa sijui km ni kweli maana hawahawa ndo walii unlock kwa bei ya £100 so km wangetaka kuiba wasingeiba hii hela ndogo ya kuondoa icloud wangedai hela nyingi so nilichoamua ni kuongeza hiyo £10 ilinione mwisho na tupate sln, kuhusu jinsi wanavyo unlock ikisha kuwa tayari wanakutumia email in iconnect ktk itune then inakuwa unlocked remotely
 
ni kweli Paul, tusubiri tu nafkiri leo ataweza kutupa jibu..

Hii ngoma wazee bilabila hawa jamaa km mdau mmoja alivyosema yawezekana ni Scammers au icloud bado ni issue maana walinitumia email km ile ya mwanzo kuwa imei is blacklisted so nitoe imei nyingine ili waeeze ku unlock kwa hiyo hela yangu basi kuna mshikaji anayo iphone naye iko icloud locked lkn yakwake ni clean imei nikaweka details zake mda mfupi wakaiondoa kwenye cut na mess kuwa wame icloud bypass service iko ofline wame suspend labda nifanye alternative unlock na hiyo link inanipeleka auto ktk option ya unlock za kawaida ambazo ni carrier unlock hiyo ndo hali halisi ya icloud lock ni balaa! Sasa labda km huyo mdau ambaye anataka carrier unlock anaweza kutoa imei yake tukajaribu tukaona itakuwaje
 
shukrani sana mkuu kwa kuleta feedback. watu wangelizwa pesa zao sana. nadhani bado hakuna njia ya kutoa iCloud Lock mpaka sasa.

cc. Paul S.S h120 mjomba fujo TEAMZAX Phlagiey Jerrymsigwa Mtumpole elmagnifico chief-mkwawa CYBERTEQ flyn rider
 
shukrani sana mkuu kwa kuleta feedback. watu wangelizwa pesa zao sana. nadhani bado hakuna njia ya kutoa iCloud Lock mpaka sasa. cc. Paul S.S h120 mjomba fujo TEAMZAX Phlagiey Jerrymsigwa Mtumpole elmagnifico chief-mkwawa CYBERTEQ flyn rider
Labda tuwasubiri ma hunker maana s/w nyingi zilizokuwa zinaweza kuBypass kwa sasa katibia zote hazifanyi tena lkn inaonekana mwanzo nyingi zilifanya
 
Back
Top Bottom