Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
Kufuati kifo cha Heath Leadger aliyefariki juzi akiwa na umri wa miaka 28 tu huko Manhattan kwa suspected drug overdose, naona kuna umuhimu wa kujadili suala la Drug Overdose. Yeye sio wa kwanza, wapo macelebrities wengi ambao wamekufa kwa drug overdose za presicribed or illicit drugs kama kina Marilyn Monroe, Elvis Presley, Anna- Nicole Smith, Ike Turner (Former husband wa Tina Turner), Russell Jones (aka Ol'Dirty Bastard), na wengine wengi. Naona kuna umuhimu tukaanzisha thread hii ili tuweze kusaidiana na kuhakikisha kwamba we all stay safe.
Kwa kuwa mimi ni mtaalam wa madawa ya kulevya mainly heroin and cocaine, tips zangu zitalenga huko...
1.Usitumie haya madawa ukiwa peke yako, hii itasaidia if something goes wrong unajua kuna watu watakusaidia kutafuta msaada.
2.Tumia kiasi kidogo kwanza kwa majaribio kama ni mara yako ya kwanza.
3.Pia unatakiwa uwe na regular supplier, na sio kununua kwa watu tofauti tofauti kila siku. Kuna uwezekano mkubwa wa kuuziwa madawa yalichanganywa na vitu vingine kama supplier haukufahamu.
4.Usi inject, kuvuta madawa ni njia salama kuliko kujidunga.
5.Usiogope kuita ambulance kama unahisi utapata OD, hata kama sio wewe lakini upo na mtumiaji na unahisi ata OD. Wengi huogopa kuita mabulance kwa kuhofia kwamba polisi nao watakuja.
6.Kama u mtumiai madawa mzoefu lakini hujatumia kwa siku kadhaa kwa kuwa labda ulikua hospitali au gerezani, etc ni muhimu unapoanza tena kutumia uwe careful, usitarajie mwili wako utaweza kuhandle dozi ile ile ya kila siku.
7.Usichanganye madawa(prescribed na unprescribed)
8.Usichanganye madawa na pombe.
9.Kula msosi wa kueleweka, OD ni common kwa miili dhaifu.
10. Ongea na watalaam kila mara upate ushauri wa kitaalam.
Stay safe brothers and sisters.