How the Dreamliner is Killing Tanzanians dream?

Very negative mindset. if you can not turn problems into challenges then you are bound to be forever poor.
 

Ndege zinaenda Njombe!

Ndio kuna hela za kigeni huko?

Be serious!

Kenya yenyewe haziruhusiwi kukanyaga!
 
Si kweli mkuu,uwekezaji kwenye sector ya anga hauna tija wala faida kwa nchi ambayo bado priorities nyingi tena za maana,kuna watu wanapenda sifa tu,ndo maana anachukua kodi bila ridhaa yetu,bila bunge kujadili wala kuidhinisha,CAG kutokagua mahesabu yao,we have so many questions than answers
 
Naona umesha rudi kundini.!
 
I don't see a clear point here. Should Magufuli invest in water was that development compared to flights which in return makes money and employment to the people?
By the way, don't you see water projects going on everywhere? Don't you see number health facilities being in various stages of construction?

I guess this is not a Tanzanian post, a Tanzanian should have the answers to the doughts indicated in the post.

We Tanzania have decided to accept what Magufuli is doing. He is right by more than 80%.
 
Kun uzi upinzani mliuanzisha kitambo mkiishangilia rwanda kununua ndege na mkajiuliza nchi kubwa kaa tz tunashindwa wapi na nchi ndogo. Leo kibao kimegeuzwa.
Kununua ndege siyo tatizo na ni jambo la kupongeza sana.
Tatizo ni wana ccm mnavyo liteka hilo tukio na kujiona kama ni hizo ndege ni mali za ccm na hapo ndiyo mnawabagua watanzania wenzenu na kuwalazimisha kuwapinga
 
Wana ccm kwenye shida wanajitahidi kuwashirikisha hata wapinzani ili kuonekana wapo kitaifa.
Lkn kwenye mafanikio wanajitenga na kujiona wao ndiyo walio leta hayo mafanikio
Hio ndo maana ya upinzania,kuleta amsha amsha.
 
Kwani ukiandika kiswahili hutaeleweka?
 
Wachana naye huyo mkabila
 
Kabla hajaondoka anayakabidhi jeshini mjadala unakuwa umefungwa
 

Nakubaliana na wewe kuwa kupanga ni kuchagua... Unaweza kuchagua vibaya au vizuri...
Laiti kama tungewekeza kwenye maendeleo endelevu ya watu badala ya mlundikano wa vitu (vyenye masssive hidden costs)!
Unawakamua wananchi wako hadi wanapoteza passions, dreams and ambitions!
Kila kidogo wakipatacho unawanyanganya!
Unafanya miradi mikubwa mikubwa kwa imported technologies and expertise ukitegemea kuwa unapunguza unemployment rates na kuleta maendeleo endelevu kumbe unatengeneza "economic port holes and leaks"
Unanunua madege makubwa makubwa ambayo mwisho wa siku yanaishia kutumiwa na viongozi wa serikali kuzunguka ndani ya nchi...!!

Mi nahisi kuwa kwa mara nyingine tena hatujui jinsi ya kujikwamua kutoka kwenye "poverty curse'!
Na kwa kuwa hatujui kuwa hatujui basi kila kifanywacho kitaonekana kinamanufaa!

Nipo sehemu nashuhudia harakati za "praise and worship teams" aka mataga!
 
Hiyo habari ameandika Zito kabwe, Fatma Katie, Maria Sarungi Membe.
 
On the contrary..
Wewe tatizo lako ni mahaba na ukilaza ndo vinakufanya uone kama jiwe anafanya sawa..

Kwa taarifa yako, jiwe anaongeza liabilities badala ya real assets.. hili litatugharimu sana. Soon TZ itakuwa kama Ethiopia.. umaskini umaskini. Jiwe sasa hivi yuko bize anapambana na watu wanaopinga ujinga wake kwa sababu anatuletea umaskini. Hayo madege, sgr na stiglers, vitabaki kuwa white elephants.. ndo maana watu wanaona ni bora jiwe afe, kama mtu mmoja kuliko kuliangamiza
 

Umeandika vizuri sana... Lakini hayo yote ni kama....
 
By the time tunageukia maendeleo ya watu,haya maendeleo ya vitu yatakuwa yameshakuwa grounded
 
Mtoa hoja anasema Tz kuna shida kubwa mno ya ajira na hivyo utegemezi unaongezeka sana. Ni kweli kabisa lkn suluhu yake ni nini? Watu wengi tunafikiri ya kuwa sekta ya utalii ikiendelezwa inaweza kutusaidia mno katika kupunguza tatizo la ajira.Huwezi kuwa na sekta imara ya utalii kama huna shirika la ndege .na hii dhana ya kutegemea shirika la jirani , jirani ambaye ni mshindani wako ndicho kitu kilichodumaza sana sekta utalii.Hivi umewai jiuliza kwanini Tz ambayo ni ya pili Kwa wingi na ubora wa vivutio vya utalii duniani lkn tunapokea watalii wachache hata tukujilinganisha na jirani tu.

Pili mtoa mada anasema badala ya kujenga sekta ya usafirashaji wa anga tuwekeze kwenye sekta ya Elimu,Afya ,Maji na kuboresha mazingira ya biashara. Mimi naona ni busara kujenga sekta zote hizo Kwa wakati mmoja.na ndicho kitu kinachofanyika muda huu.
 
this bushman from chato is misusing our scarce resources by investing in stupid projects
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…