Tena kuku wa Tandale ni watamu sana sijui huwa wanawaweka nini,kila sehemu utakuta foleni na bei ni rahisi sana tofauti na sehemu nyingineHa ha ha ha, nimecheka jamani
Mnatuonea sana wa Tandale
sosoliso ndio ushafika mtandaoni umenigeuka akati pale lunch time ulikuwa unamponda Paloma mwanaume wewewe mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
yaani sasa hivi nilikuwa na sosoliso kanitoa lunch mumeo ni mtamu sana aisee naamishiwa ofic ya hapo karibu naye jengo moja na Tanzania Women Bank-TWB na yeye si yupo next buillding ntamfaidi sana aisee .
ninaweza kweli nikauponda moyo wangu mie Nivea..? Paloma ndo aorta wa moyo wangu.. mdomo katu hauthubutu wala kukubali kusema baya lolote dhidi ya malaika wangu wa duniani..
:busu kwako Paloma..
nimtajie Paloma ulivoulamba kuanzia mvunguni mpaka sebuleni ili ajue ukweli tulikuwa wote long lunch nseme!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
nimtajie Paloma ulivoulamba kuanzia mvunguni mpaka sebuleni ili ajue ukweli tulikuwa wote long lunch nseme!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!