How Old is Wema Sepetu?

Jamani mimi mgeni, naomba mnieleweshe hiyo menopause ni nini na inapatikana umri gani? na ni kwa nini imekuwa maarufu sana siku hizi!? ni nini sifa au kero za Menopause?
 
Jamani mimi mgeni, naomba mnieleweshe hiyo menopause ni nini na inapatikana umri gani? na ni kwa nini imekuwa maarufu sana siku hizi!? ni nini sifa au kero za Menopause?

The menopause marks the time in a woman's life when her menstruation stops and she is no longer fertile (able to become pregnant)

Umri Kuanzia Miaka 41-51,Inategemea nchi na nchi,Tanzania ni 45,India 41 na UK 51
 
Ana mwili wa Kizee...atachoka upesi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Can you please do as a favor? Tupe jina la gazeti Au mahali Umesoma kwanza, hayuwezi Jibu hivi hivi, pengine Umesoma Kwenye udaku.

Nimesoma mahali kwamba siku chache zilizopita huyu mdada ametimiza miaka 22, yet mwaka 2006 alishiriki shindano la kumtafuta Miss Tanzania, na akatwaa hilo taji hivyo akawakilisha jina la Tanzania kwenye mashindano ya dunia..

Sasa kama amezaliwa mwaka 1990 ina maana mwaka 2006 alikuwa na umri wa miaka 16 (under 18)... Ilikuwaje akaruhusiwa kushiriki haya mashindano na umri ule? Au yeye mwenyewe ndiye ameamua kujipunguzia miaka?
 
The menopause marks the time in a woman's life when her menstruation stops and she is no longer fertile (able to become pregnant)

Umri Kuanzia Miaka 41-51,Inategemea nchi na nchi,Tanzania ni 45,India 41 na UK 51
Hivi kwani kila mtu anahitaji kuzaa? au kuna lingine linalohusisha hiyo Menopause? nataka kujuwa madhara zaidi ya hii tamati ya kuzaa.
 
Mwaka 2006 alikuwa na miaka 20, mwaka huu atakuwa na miaka 26.

Hizo birthday ni promo za kuvutia wanaume tuu ili wamuone bado kigori kumbe anakaribia menopause.

Ila amechoka mbaya, yaani hapo bado hajaolewa na bado hajazaa watoto.

Hahahaaaa mkuu nani anataka kuoa changudoa uozo huo ................ !!
Kila siku kuonyesha ma.ta.ko na nyeti nje huyo mwanaume anayemtaka atakuwa mwendawazimu..!!
Labda aolewe na shetani ................!!!
 
Nimesoma mahali kwamba siku chache zilizopita huyu mdada ametimiza miaka 22, yet mwaka 2006 alishiriki shindano la kumtafuta Miss Tanzania, na akatwaa hilo taji hivyo akawakilisha jina la Tanzania kwenye mashindano ya dunia..

Sasa kama amezaliwa mwaka 1990 ina maana mwaka 2006 alikuwa na umri wa miaka 16 (under 18)... Ilikuwaje akaruhusiwa kushiriki haya mashindano na umri ule? Au yeye mwenyewe ndiye ameamua kujipunguzia miaka?

Wema Abraham Sepetu (amezaliwa 28
Septemba, 1988) alikuwa Mrembo wa Tanzania
kwa mwaka wa 2006.
Maisha ya awali, elimu, na sanaa
Wema ni mtoto wa mwisho katika familia ya
watoto wanne wa Mzee Abraham Sepetu. Alianza
elimu ya msingi hadi sekondari amesomea katika
shule moja tu iitwayo "Academic International"
iliyopo maeneo ya Mikocheni, Dar es Salaam

Source wikipedia
 
Usiiamini sana wikipedia. kwenye wikipedia mtu yeyote anaweza ku-edit au kubadili hizo info.
 
Huenda Kisa cha Diamond kusita kumwoa Mwema ni issue ya umri lakini pia kuchoka kwake kimaumbile(kitu kinaning'ining'ia na kumwaga maji mbaya kama ruvu chini).

Na huenda pia ndugu wa kike wa karibu wa Diamond(sister zake) waliponda wazi wazi kuwa hawataki wifi kimeo, kikongwe na Mtambo.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom