mimi hii calculation bado sijaielea.....mimi nakunya chupa 10 za kilimanjaro beer per day na glass 2 za maji sasa hapo nashindwa kuelewa niongeze hizi kilimanjaro pia ama ? maana najua nazo zina maji ndani