How much ewura collects from us?

Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,631
1,926
As a matter of curiosity, can any member in this house en light me on how much EWURA collects from us in just one year and where does the money go if you leave alone the ordinary running expenses? I have been paying a lot of money to this Org. Every time I fuel my car, every time I purchase Luku and every time I pay my water bills I also pay the EWURA stuff. Sincerely speaking ,I do not know why I should. Well, if justifiable; can we get the figures please? .:drum:
 
......hili dude ni legalized epa! Na hawa jamaa wanafanya wakichukua advantage ya watanzania kwamba si wafuatiliaji wa shilingi kumi kumi kumbe accumulatively ni mabilioni ya shilingi kwa mwaka. Mimi na familia yangu si watumiaji sana wa umeme na maji; kwa wastani kwa mwezi luku ya 25,ooo/= inanitosha na maji ya 8500/= yanatosha. Kwenye luku ewura ni 3% equivalent to 750 hivyo kwa mwaka nawachangia wastani wa 9000/= kupitia umeme. Sijajua maji ni asilimia ngapi hadi nikaangalie karatasi ya bili
 
Katika kila lita moja ya mafuta inayouzwa nchini shs 10 ya inakwenda ewura lita milioni ngapi zianuzwa nchini? kwa siku wanapata millions
 
Katika kila lita moja ya mafuta inayouzwa nchini shs 10 ya inakwenda ewura lita milioni ngapi zianuzwa nchini? kwa siku wanapata millions

Wastani wa fuel consumption yetu ni lita ngapi kwa siku?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom