How mnaweza ku date na last born?

How mnaweza ku date na last born?

We acha tu...

Nimefaudu sana nyama za kufichiwa na mama. That woman dah! Apumzike salama kwa kweli. Hakuna upendo kama wa mama na last born wake wanaoshibana aisee
Mimi sikuwahi kupewa special treatment hata siku moja kwanza nina miaka minne tu akaniacha niende na dada. Huwa nahisi mama yangu labda hakupanga kunizaa
 
Huwa wanakunywa kinywaji haraka halafu wanalilia cha first born!...first born Mungu atubariki tunanyanyaswa mno na hawa machalii
 
Guys huyu last born kanishinda jaman mwanaume mda wote my momy my dady oh jaman nime mchoka nataman kumuacha
Endelea kurukaruka kisha umri ukishafikia pentagon utatafuta kuolewa hata na mgema tembo.

Nakuunga mkono achana naye🤣
 
Back
Top Bottom