Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,414
- 176,331
Kumbe wewe ni last born!! Ndio maana🙆🙆🙆Leo last borns tunalo wallahi
Mara nyingi ni wivu tu ndo unawasumbuaga mkiona jinsi tunavyopendwa. Imagine mimi nilinyonya miaka 7 na nusu mizima. Yaani nakwenda kuchunga nikirudi nafikia kupata balanced diet kwa mama
View attachment 2588605
Omba Mungu mtoto wako wa mwisho asiwe wa kiume🤣🤣🤣🤣


