How many WhatsApp groups are you a member of? How potential are they?

How many WhatsApp groups are you a member of? How potential are they?

Ninazo groups zaidi ya 160, telegram channel na group zaidi ya 70.

Purposely for business.
 
Group la familia, shule/chuo na wafanyakazi wenzangu yananitosha kabisa japo kuna ambayo nipo ila sio ya lazima sana japo siwezi kujitoa.
 
Nimelisahau Jina ila lilikua la Valentina
Natamani kuendelea kuuliza maswali ila ngoja niache. Ki msingi nimeshalitambua hilo kundi. Sijui ilikuwaje ukaletwa halafu nikashindwa kukutambua.

Ila nawakumbuka watoto wazuri wazuri kadhaa waliokuwa kwenye lile kundi kabla sijajitoa mnamo mwaka jana, huenda ulikuwa mmoja wao.
 
hata mm hushangaa pia. kuna sku nimeshika smu yangu nkaingia fb naangalia hv friend list nkajiuliza sasa hawa marafik wanasaidia mm kuingiza dollar ngap?? nkaona huu ni use**
....yaan in real life mm sna rafiki sasa inakuwaje niwe na rafiki fb? nkaanza ku unfriend mmoja baada ya mwingne mpaka sasa account yangu inasoma zero frends
Nmejiunga fb 2013, nina post chini ya 10, friends 400. Saiv naenda kufanya ulichofanya[emoji16] nawadrop hadi wabaki 5.
 
Usingeweza kunitambua

Back
Top Bottom