Tatizo unalo,ur psycho if don't knowNna groups 40 kuna tatizo kwani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maigizo ya wanajf, wengine ukikutana nao kwenye real life unaweza usiamini[emoji23][emoji23][emoji23]watu wa humu
1. hawana magroup mengi ya wasap
2. hawapendi kuchati wao ni kupiga simu maongezi yaishe haraka
3. Hawapo facebook wala instagram
4.ni watu waliostaarabika
5. huwa hawaumizwi na mapenzi
6. ukimsifia JPM ni kosa la jinai
........
.....[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]![emoji3][emoji3]
Wote tuna magari ya kutembelea.
Wote tunaishi sehemu nzuri
Wote tuna kazi nzuri na biashara kubwa.
Hatutumii tecno.
Wote tumesoma na tuna degree
*Yaani mwenye maisha magumu umebaki ww tu* jitafakari[emoji3]
Oya mkuu nipe link ya group hilo la bongo[SUB]Tulia mtoto mdogo wewe.. Ninayo zaidi ya 200 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1479101[/SUB]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ndio maana kwenye uzi povu
Jikite kwenye mada[emoji3][emoji3]
Wote tuna magari ya kutembelea.
Wote tunaishi sehemu nzuri
Wote tuna kazi nzuri na biashara kubwa.
Hatutumii tecno.
Wote tumesoma na tuna degree
*Yaani mwenye maisha magumu umebaki ww tu* jitafakari[emoji3]
Linaitwaje hilo group mama la mama. ?Sina group ya watu wa humu. Niliingizwaga moja 2017 ile nadhani. Nikatuma picha kwenye kujitambulisha (sheria ya group) nikaikuta humu jukwaani picha yangu.
Nikatoka Hilo group maanA sikua nablend nao kabisa. Nilikaa siku chache tu. Nilivyomaliza kujitambulisha sikuwahi andika Tena.
Inasaidia nini sasa kumtafuta mtu kwenye social networks ?Duh sikuona hiyo picha aisee heri ningeona ,ile group ilikuwa ya nia watu kujua wenzao,humu JF tunaficha majina ila kwenye groups mtu akishaona namba yako anaangalia jina halafu anakutafuta kwenye social networks
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio maana kwenye uzi povu
Huwa wanajadili nini huko MMU ?Zipo group hadi za MMU mi nilitoka huko mwaka juzi
Kakukunaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
akikutumia n mm nitumieOya mkuu nipe link ya group hilo la bongo
Sent it to me a link concern school of thought in pm,Inna.2group.family group and school of thought
Hayo mawili kutoka chini yote kwangu mchongo.Jiweke kwenye grup la michongo. Hayo yote ni magrup uchwara
heee kumbe JF kuna magroup?Sina group ya watu wa humu. Niliingizwaga moja 2017 ile nadhani. Nikatuma picha kwenye kujitambulisha (sheria ya group) nikaikuta humu jukwaani picha yangu.
Nikatoka Hilo group maanA sikua nablend nao kabisa. Nilikaa siku chache tu. Nilivyomaliza kujitambulisha sikuwahi andika Tena.