How many WhatsApp groups are you a member of? How potential are they?

Join the Most intelligent Smartcontract
ever in the World.

*PASSIVE INCOME for your life time*

Download Trust wallet at appstore/playstore,
Fund/load your wallet with equivalent of $2 or (0.00625 Ether)

@argosworldwideenglish

Grab your link right here:[emoji116]

Joining fee: $2

Argos - RegisterView attachment 1479097View attachment 1479098
Screenshot_20200614-230401_Zoom.jpg
 
Magroup ya whatsapp kama unatangaza biashara hapo sawa ,ila kuna watu wapo kwenye groups zaidi ya 10,bado yupo groups za telegram ,kama ni mfanya biashara ni nzuri lakini siyo mambo ya matatizo ya kimapenzi au magroup ya kula bata
 
Nina groups nyingi aisee Kama 20 hiviii.. kwanza sio mvivu wa kusoma so nikiwa na muda Kuna groups zangu Kama 5 huwa nasoma message zao.

Groups zimenisaidia Sana yes. Ajira zangu mbili za mwisho nimezipata kupitia kujuana na watu wa groups.

Biashara wise zinanisaidia sana pia sababu nimetengeneza network mjini.

Kijamii yamenisaidia kujuana na watu ambao nikitaka msaada ofisi yoyote ile Kuna mtu atanisaidia bila usumbufu.

Japo hizo groups zipo za namna zote na sitamani kutoka group hata moja
 
hata mm hushangaa pia. kuna sku nimeshika smu yangu nkaingia fb naangalia hv friend list nkajiuliza sasa hawa marafik wanasaidia mm kuingiza dollar ngap?? nkaona huu ni use**
....yaan in real life mm sna rafiki sasa inakuwaje niwe na rafiki fb? nkaanza ku unfriend mmoja baada ya mwingne mpaka sasa account yangu inasoma zero frends
Angalia my status ina view ngapi 😂😂😂 je nikisema idadi ya magrup niliyo nayo WhatsApp si mtakimbia wote humu?
IMG_20200615_103545.jpg
 
Ile yetu ya JF inaendelea ?
Nina groups nyingi aisee Kama 20 hiviii.. kwanza sio mvivu wa kusoma so nikiwa na muda Kuna groups zangu Kama 5 huwa nasoma message zao.

Groups zimenisaidia Sana yes. Ajira zangu mbili za mwisho nimezipata kupitia kujuana na watu wa groups.

Biashara wise zinanisaidia sana pia sababu nimetengeneza network mjini.

Kijamii yamenisaidia kujuana na watu ambao nikitaka msaada ofisi yoyote ile Kuna mtu atanisaidia bila usumbufu.

Japo hizo groups zipo za namna zote na sitamani kutoka group hata moja
 
Ile yetu ya JF inaendelea ?
Sina group ya watu wa humu. Niliingizwaga moja 2017 ile nadhani. Nikatuma picha kwenye kujitambulisha (sheria ya group) nikaikuta humu jukwaani picha yangu.

Nikatoka Hilo group maanA sikua nablend nao kabisa. Nilikaa siku chache tu. Nilivyomaliza kujitambulisha sikuwahi andika Tena.
 
Groups zinasaidia sana!
 
watu wa humu
1. hawana magroup mengi ya wasap
2. hawapendi kuchati wao ni kupiga simu maongezi yaishe haraka
3. Hawapo facebook wala instagram
4.ni watu waliostaarabika
5. huwa hawaumizwi na mapenzi
6. ukimsifia JPM ni kosa la jinai
........
.....[emoji23][emoji23][emoji23]
😂 😂 😂 😂 😂
 
Duh sikuona hiyo picha aisee heri ningeona ,ile group ilikuwa ya nia watu kujua wenzao,humu JF tunaficha majina ila kwenye groups mtu akishaona namba yako anaangalia jina halafu anakutafuta kwenye social networks

Oooh.. sasa akishanijua ndo itamfanya anijue na humu ID yangu? Japo naambiwa zipo groups za JF bado
 
Ongezea kila mtu anapiga shoo ya kibabe bao moja masaa matatu

Back
Top Bottom